Baba lake
Senior Member
- Aug 11, 2018
- 170
- 214
Wanakufundisha badala ya kuokota chochote wewe unaendeleza ligi kuonyesha ni jinsi gani upo empty minded, Wakenya mpo chini ya milki ya Mzungu sisi tupo tunapambana na hali yetu na utawala wetu.Hamna dharau hapo. Tatizo lenyu nyie huwa na chuki wakati wote. Mko na mentality ya victimhood. Labda mngeanza na "Kuamka" mumung'oe yule dictator kichaa wa kwenyu ambaye vibaraka zake wanampangia hadi siku ya kuvaa suti. Mkishamaliza, mje mtuambie jinsi ya kuamka.