tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Toka naanza kupata ufahamu, moyo umekuwa ukihusishwa na mambo mengi kama nilivyoyaoredhesha hapo juu. Nilipoenda shule katika somo la biologia ni nikajifunza kwamba kazi ya moyo ni ku-pump damu safi kwenda sehemu mbali mbali za mwili, pia damu chafu kuifanya ikasafishwe kwenye kibofu, ini na mapafu...moyo hufanya hayo yote..nimekaa nimefikiri na nimeshindwa kujua uhusiano kati ya moyo na kupenda, moyo na kutamani, moyo na hisia, moyo na kuumia, moyo na kuridhika>>wengine wakatuimbia>ukweli wa moyo utaujua ukipenda>>, tuache kufikiri kwa mazoea, tuambiane huhusika wa moyo katika haya mambo ambayo ubongo/akili ndiyo inayohusika