Uhusiano wa moyo na kupenda, kuumia, kudanganya na mengine yanayofanana na hayo

Uhusiano wa moyo na kupenda, kuumia, kudanganya na mengine yanayofanana na hayo

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Toka naanza kupata ufahamu, moyo umekuwa ukihusishwa na mambo mengi kama nilivyoyaoredhesha hapo juu. Nilipoenda shule katika somo la biologia ni nikajifunza kwamba kazi ya moyo ni ku-pump damu safi kwenda sehemu mbali mbali za mwili, pia damu chafu kuifanya ikasafishwe kwenye kibofu, ini na mapafu...moyo hufanya hayo yote..nimekaa nimefikiri na nimeshindwa kujua uhusiano kati ya moyo na kupenda, moyo na kutamani, moyo na hisia, moyo na kuumia, moyo na kuridhika>>wengine wakatuimbia>ukweli wa moyo utaujua ukipenda>>, tuache kufikiri kwa mazoea, tuambiane huhusika wa moyo katika haya mambo ambayo ubongo/akili ndiyo inayohusika
 
hivi nini sababu za moyo kubebeshwa kazi zote hizi?
 
ulitaka waseme ubongo?

Hata kwenye biology kazi ya ubongo ni medular oblongata.

Mie naona waliamua tu kuhusisha hisia na moyo. Lakini kama ulishawahi umia kikweli unasikia maumivu kifuani hasa upande wa kushoto.
 
ngoja nifatilie nijue ni nani alianzisha hii kitu, wengi tunaenda tu.
 
Back
Top Bottom