Uhusiano wa mtoto kulia na uhai!!

Uhusiano wa mtoto kulia na uhai!!

BRAND

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
296
Reaction score
257
Wana jf! nimekuwa nikiwaza muda mrefu sana,kuna uhusiano gani kati ya mtoto kulia pindi tu anapozaliwa na uhai wake! mtoto anapozaliwa tu ni lazima alie!! nimejaribu kuuliza nikaambiwa kama mtoto asipolia basi lazima atalizwa,kama asipolia basi atakuwa amekufa au kama bado hajafa basi lazima atakufa tu ktk kipindi kifupi kinachofuata!! kwani kuna uhusiano gani hapo? nataka kujua hili kitaalam zaid kwa mwenye uelewa!wana jf ninataka kujua zaid nipo serious!
 
Ukweli ni kwamba, kabla mtoto hajazaliwa huwa ana pata chakula na oxygen toka kwa mama yake kupitia placenta. Anapozaliwa na kutoka ktk uterus ya mama yake humaniisha kwamba sasa anaanza kujitegemea ktk hilo. Hiv pind mtoto anapotoka tumboni mwa mam yake mapafu hutanuka ghafla ili kuweza kupokea hewa ya kutosha hivyo kusababisha maumivu kwa mtoto na kumfanya alie! Mimi nahisi hivyo!
 
Mpigade]Ukweli ni kwamba, kabla mtoto hajazaliwa huwa ana pata chakula na oxygen toka kwa mama yake kupitia placenta. Anapozaliwa na kutoka ktk uterus ya mama yake humaniisha kwamba sasa anaanza kujitegemea ktk hilo. Hiv pind mtoto anapotoka tumboni mwa mam yake mapafu hutanuka ghafla ili kuweza kupokea hewa ya kutosha hivyo kusababisha maumivu kwa mtoto na kumfanya alie! Mimi nahisi hivyo! Nahisi kuna ukweli fulani ktk maelezo!
 
Wana jf! nimekuwa nikiwaza muda mrefu sana,kuna uhusiano gani kati ya mtoto kulia pindi tu anapozaliwa na uhai wake! mtoto anapozaliwa tu ni lazima alie!! nimejaribu kuuliza nikaambiwa kama mtoto asipolia basi lazima atalizwa,kama asipolia basi atakuwa amekufa au kama bado hajafa basi lazima atakufa tu ktk kipindi kifupi kinachofuata!! kwani kuna uhusiano gani hapo? nataka kujua hili kitaalam zaid kwa mwenye uelewa!wana jf ninataka kujua zaid nipo serious!

thts totally true
 
Back
Top Bottom