Wana jf! nimekuwa nikiwaza muda mrefu sana,kuna uhusiano gani kati ya mtoto kulia pindi tu anapozaliwa na uhai wake! mtoto anapozaliwa tu ni lazima alie!! nimejaribu kuuliza nikaambiwa kama mtoto asipolia basi lazima atalizwa,kama asipolia basi atakuwa amekufa au kama bado hajafa basi lazima atakufa tu ktk kipindi kifupi kinachofuata!! kwani kuna uhusiano gani hapo? nataka kujua hili kitaalam zaid kwa mwenye uelewa!wana jf ninataka kujua zaid nipo serious!