Uhusiano wa pesa na sex kwenye mahusiano ya kimapenzi

PESA haina thamani sawa na sex

MTU ambaye anatoa PESA ili apate sex anakuwa anajisogeza karibu na umasikini na mikosi pia.

Make more money and spend it wisely .

Mwanamke wako unabidi kumuhudumia na sio kumuhonga .
 
h
PESA haina thamani sawa na sex

MTU ambaye anatoa PESA ili apate sex anakuwa anajisogeza karibu na umasikini na mikosi pia.

Make more money and spend it wisely .

Mwanamke wako unabidi kumuhudumia na sio kumuhonga .
ii mikosi ya sex ni kwa waafrika tuu ama mie ndio sielewi?
maana mbona wamarekani wanaongoza kwa porno insudtry lakini wao ndio wanazidi kujazwa mihela. yaani ni ile jaza ujazwe
 
😹😹😹 pole sana, nani kakunyima??
Maana umeshusha waraka mzito kushinda wa mtume Paulo
Huu waraka n kama vile umekuja na kilio cha jamaa, inaonyesha hua anapigwa sana vitofali ila utelezi anaupata kwenye sabuni 😎
 
h

ii mikosi ya sex ni kwa waafrika tuu ama mie ndio sielewi?
maana mbona wamarekani wanaongoza kwa porno insudtry lakini wao ndio wanazidi kujazwa mihela. yaani ni ile jaza ujazwe


Being blessed is not what is in ur bank account

But being blessed is to be a builder and not a destroyer .

Money and material stuffs /things everybody can afford to get it .
 
Wewe Bwegeee na haya ni matatizo ya kuanza mausiano ukubwani au baada ya kupata vihele hela
 
Hamna mistake mbaya kizazi cha sasa kama kuithaminisha sex kwa pesa. Ndio maana siku hizi pamoja dada zetu kiendekeza pesa,ila mapenzi yameshuka sana thamani na ngono imekuwa kitu rahisi sana.Sababu unapoweka pesa unaondoa utu na hapo lile tendo linakuwa kama biashara na mwanamke bidhaa,mwanaume ndiye mteja wa hiyo mpaka hapo hamna mapenzi bali ni biashara. Ndio maana siku hizi kuna mtindo fulani ambao kama ushahalalishwa ,ili uingie kwenye mapenzi lazima uwe na mtaji.

Kwa sasa kwangu naona mapenzi yashapoteza maana bali siku hizi ni biashara ni couple chache sana ambao hawauziani kwenye mahusiano yao,ila couple nyingi sana wanauziana na tena wengine wanawauzia waume zao kwenye ndoa.Wachache sana ndio wanafurahia mapenzi, ila wengi ni kuumizana.
 
No money no confidence
 
Bandiko lake refu sana, sijalisoma lote.
Ila kwa ufupi mie napenda sana pesa, mapenzi nitakutengea mbususu yangu ili uichubue huku mezani kuna burungutu
Huwezi amini mimi sijuagi kutongoza kwa kutumia pesa, sijui kwasababu sina hela.

Kwa wastani mwanamke mpiga vizinga inatakiwa nimtengee bajeti ya sh ngapi kuanzia stage ya kumtongoza, mpaka napata papuchi yake. Na nikiona nimetumia zaidi ya sh ngapi na sijapewa papuchi, niache kuhonga nikatafte kwingine Madame B
 
Njoo kwangu, nipe pesa ..nikupe utamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…