Uhusiano wa u-genious na Ukichaa

mimi mbona genius na sina kichaa
 
Hii kama logic hivi
Yupo mwingine pale sokoine university department ya veterinary medicine yeye ndo unaweza ukawa unaongea nae hapo hapo akakuuliza "vipi kijana una shida gani" kanakwamba ndo umefika mda huo then ni pHd holder.
Kuna Dr. Mmoja pale Udom ni kichwa sana na ametulia mpole wa statistic maths ila kuna muda milembe huwa inamuhusu kwa siku kadhaa halafu anarudi
 
Yupo mwingine pale sokoine university department ya veterinary medicine yeye ndo unaweza ukawa unaongea nae hapo hapo akakuuliza "vipi kijana una shida gani" kanakwamba ndo umefika mda huo then ni pHd holder.
Anakuaje huyo Dr. wa UDOM?
 
Ma genius ni abnormal .....hawako normal
na wenye matatizo ya akili pia hawako normal

mtu yeyote ambae ama akili zimezidi au zimepungua basi hayuko normal

ni mgonjwa wa akili.....
Umenikumbusah abnormal
 
Dah! hivi weusi magenious hakuna???
Wapo wengi sana .......kwa mfano hapa majuzi kuna Mnigeria aligundua aina fulani ya maradhi yanayosababishwa na AMERICAN FOOTBALL........Lakini hakutangazwa ki viiile ...simply mwafrika.
 
AISEE KUNA VERY THIN LINE BETWEEN U GENIOUS NA UKICHAA ...VERY THING..NDIO MAANA MFANO MTU KAMA STEVE JOBS ALIKUWA ANA AKILI SANA LAKINI ALIKUWA SOMETIMES KAMA KICHAA ...IE MFANO KUNA WAKATI ALIKUWA NA TABIA YA KUTOKUOGA,KUTONYOA,KUTOBADILI NNGUO, ALISAFIRI HADI INDIA ILI AJIUNGE KUWA BUDHA .....AKAWA ANAKULA MATUNDA TU[APPLES ] AT TIMES ,AKAWA HANA UKARIBU NA FAMILIA IKIWEMO KUMKANA BINTI YAKE HATA BAADA YA PARTENITY TEST KUONYESHA NI WAKE 99% which is above avarage akidai hata hiyo 1% inawezekana sio wake ....baadaye alimkubali..etc
 
Ma genius ni abnormal .....hawako normal
na wenye matatizo ya akili pia hawako normal

mtu yeyote ambae ama akili zimezidi au zimepungua basi hayuko normal

ni mgonjwa wa akili.....
....ni kweli mkuu, sawa tu na utapiamlo, kuna over na under, lakini huu wote ni utapia mlo!!
 
Kwahiyo wakati anamkubali hakuwa genius?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…