golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,270
- 693
NitaitafutaKuna muvi pia inaitwa the pills jamaa alitumia pills za kuboost IQ ikawa shidA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NitaitafutaKuna muvi pia inaitwa the pills jamaa alitumia pills za kuboost IQ ikawa shidA
Teheeee. Abnormalities ni karama pia.Vichaa ni wengi kuliko Magenious
Hata humu pia nimeona vichàa wa wapo wa kutosha tu.
Mfano wewe ni kichaa kama ... unamwona Einstein kichaa kwa kuwa alikuwa hakai vijiwe vya kahawa anajifungia ndani anavumbua...vitu
Kwa mawazo yangu Nyerere alikua mtu mwenye intelligence kubwa tu, hakufika level za u genius.Na Julius Nyerere vipi maana nae alikuwa genius
Nyerere alikuwa "Superior", IQ yake haikufikia kuwa genius ila alikuwa just above "average"Na Julius Nyerere vipi maana nae alikuwa genius
Mawazo yako nikama yangu mkuu.Nyerere alikuwa "Superior", IQ yake haikufikia kuwa genius ila alikuwa just above "average"
Umemsahau N.Tesla hakuoa wala kuzaa alipenda kustay alone zaidiNi kweli sio wote ila asilimia kubwa ya watu walioleta mapinduzi kwenye huu ulimwengu walikua na uchaaa, list ya ma-genius ambao historia inaonyesha walikua na uchaa ni kama John Nash, Isaac Newton,Einstein, Faraday, Friedrich Nietzsche, Leo Tolstoy, Virginia Woolf, Samuel Johnson, Jonathan Swift, Ernest Hemingway, Abraham Lincoln, Theodore Roosevelt, Oliver Cromwell, John Stuart Mill, Robert Schumann, Gaetano Donizetti, Ludwig von Beethoven, Robert Lowell, Graham Greene, John Berryman, Anne Sexton, Vaslav Nijinsky, JoanMiró, and many more.
Hawa wote walikua na uchaa kwa sababu za coincidence??
Sasa kwa watu Kama hawa ambao wamezaliwa katika ubora huu bila pombe hakai vizuri alafu wanakwambia oh pombe dhambi. Sasa kwanini Mungu aliwaumba katika hali Kama hii huku mazingira bado yanawakontroo?kwa nini mkuu??hebu nisaifie kidogo kuhusu ili tatizo lake!kuna mda adi anatia huruma ila wala hana neno.akikuta cjui pc imeharibika ni dk 5 kamaliza kazi.wanamuitaga makampuni anafanya kikazi chao wanampa chake kamaliza anaenda lewa zake.aloo oo
AISEE IMENIGUSA MNA MIE NINA UNCLE WA HIVI ...ILA HOME WANAMFICHA ETI AIBU...VERY SAD.nina ndugu yangu ana akili mno.yaaan ni wale mageneous ambao hata shule hataki maana anakua wakwanza kila mtihani adi chuo aliaacha maana haoni cha kusoma.sasa kitabia ni mchavuuu mlevii na utukutu tu.ila hata ukikaa nae dk 1 ukaongea nae utagundua utofauti.alianza taratibu sasa kawa too much.kuna mda tulihisi anadata tukampeleka hospital .bwana kule akawa friend wa dk maana alikua anawahi kila siku kwa dk mwenyewe kumbe alivipenda vitabu vya dk ofisini.sasa dk anasema muacheni tu maana akili zake znamletea ukichaa.imefika mahala dk anamuita wanafanya discussion na wanafunzi wake.ila anakua maji na anaenda nao sawa .
Kwa nini wamfichw mkuu??AISEE IMENIGUSA MNA MIE NINA UNCLE WA HIVI ...ILA HOME WANAMFICHA ETI AIBU...VERY SAD.
Mara chache sana........Kwa nini wamfichw mkuu??
Au anafanya vitendo vya kutia aibu??
mbona mimi ni msafi tu, na kichwa kimetulia..hopefully soon nitakuwa mgunduzi wa moja ya vitu vya nishati...stay tuned
Hahahaha..hii ya pombe kunywa kisha unaperfom vzr ktk kazi hadi unashangaza watu ht mm ninalo hili tatizoSasa kwa watu Kama hawa ambao wamezaliwa katika ubora huu bila pombe hakai vizuri alafu wanakwambia oh pombe dhambi. Sasa kwanini Mungu aliwaumba katika hali Kama hii huku mazingira bado yanawakontroo?
Yes yes hapa ndo patamu ndugu@asigwa ikubukubukwe hakuna binadamu yoyote aliyemzma kiakili yaani Kila mwanadamu ni mgonjwa akili hili halipingiki kama ukisoma vizuri MENTAL HEALTH (PSYCHIATRIC)Kumekuwa na theory nyingi mitaani kuwa watu wenye intelligence kubwa na ma-genius wengi wana tabia nyingi za ukichaa au ni vichaa kabisa, madaktari bingwa wengi kwenye mahospitali makubwa hapa nchini ambao wanategemewa wengi huwa ni "wehu".
Hata katika viunga vya vyuo vikuu maprofessor wengi wakubwa wa kuaminika wengi huwa ukikaa nao utagundua tu wana-"wehu" fulani.
Ukifuatilia biography nyingi za watu waliokuwa na uwezo mkubwa wa kiakili na wavumbuzi wengi wakubwa hapa duniani katika sayansi na katika sanaa utagundua historia zao zimegubikwa na uchaa wa hali ya juu.
Kuna vitabu vimeandika research ya hii kitu na wakafanya clinical trials wakagundua kuwa asilimia kubwa za watu wenye akili nyingi au ma-genius familia zao pia kuna vichaa wengi au watu wenye upungufu wa akili au wehu.
- Mtu kama Isaak Newton inasemekana alikua na magonjwa ya akili na saikolojia ambayo kwa sasa kitaalamu yanaitwa "schizophrenia", huu ni ugonjwa wa mtu kutokuweza kuishi na mtu yeyote,historia inaonesha Newton alikuwa ni mtu wa kujistukia muda wote kama mtu aliyeua vile, na mara nyingi aliwashutumu ndugu zake kuwa wanataka kumuwekea sumu kwenye chakula .Alipofika miaka 40 hali ilikua mbaya zaidi na alikua hawezi kuishi hata na ndugu zake wa karibu akajitenga completely .
- Albeit Einstein yeye alikua na tabia ya uchafu uliopindukia, inasemekana chumba alichokuwa akiishi kilikua kama zizi la nguruwe, kula hapo hapo kujisaidia hapo hapo hakuna mtu wakawaida anayeweza kuingia ndani, kilikua kinanuka kwa uvundo lakini pia hata nguo zake alikuwa anaweza kuvaa miezi bila kufua na kutokana na tabia yake ya uchafu na kutokujipenda na kutopenda kunyoa wengi walijua ni mwehu, wataalamu wa magonjwa ya akili kwa sasa wanauita ugonjwa huu schizotype.
- Alexander Graham Bell, huyu ni mvumbuzi wa simu, yeye alikua na tatizo la hisia kali za mapenzi , hisia zilizopitiliza mpaka alikuwa kero kwa mpenzi wake miss Hello. Inasemekana alikua kama zombi kabisa kwa mpenzi wake kuna nyakati ilibidi mpenzi wake huyu amkimbie, lakini pamoja na kumkimbia huku siku alipovumbua tu simu neno la kwanza katika simu lilikua ni kutaja jina la mpenzi wake HELLO na hapo ndio utamaduni wa kuanza na neno HELLO kwenye simu ulipoanzia, japo watu wa kizazi hiki wanachukulia kama ni fashion lakini neno HELLO lilitajwa na mtu aliyekuwa na emotion breakdown wakati huo .
- Martin Luther huyu alikua na tatizo la misongo ya mawazao iliyotukuka (chronical depression), lakini pia alikua ni mtu mwenye "mizuka ya ajabu, siku akiamka kichwa kimemtuma kufanya kazi anaeza fanya kazi hata 48 hrs non-stop, siku kichwa kikimtuma kusoma anaweza kusoma hata 36 hrs non-stop. Mwaka 1517 kichwa kilimtuma kuandika Thesis za kupinga namna Kanisa Katoliki linavyoendeshwa, aliandika thesis 95 alipoona hawamuelewi akaamua kuzibandika mlangoni mwa kanisa la Wittenberg halafu akasepa, na hapo ndipo ikaanza movement ya protestant churches.
- Wapo wengi kama Thomas Edson, Leonardo da Vinci, Michelangelo Buonarroti, Theodore Roosevelt,John Nash,Michael Faraday, Henry Ford na wengine kibao ambao historia zao zinapatikana kiurahisi, wote hawa wameonesha kuwa na degree fulani ya ukichaa ambayo ni tofauti na mtu wa kawaida kama ambavyo sayansi ina-define na wengi wamekuwa na tabia ya kuongea wenyewe muda wote.
Moja ya kitabu kizuri ni cha mwanamama Nancy C. Andreasen, M.D., Ph.D. kinaitwa "The Creating BRAIN, Neurosciences of Geinus" kimejaribu sana kutafiti kwa kutumia technolojia nzuri ya MRI bongo nyingi za ma-genius na kimegundua zinafanana neuro-arrangement zake na kua sehemu za brain zao haziko developed kabisa.
Swali hapa linakuja je kuna uhusiano gani kati ya kuwa na Intelligence kubwa au kuwa genius au kuwa highly creative na UKICHAA??
Shukrani sana mkuu, kuna vitu nimejifunza sana hapaYes yes hapa ndo patamu ndugu@asigwa ikubukubukwe hakuna binadamu yoyote aliyemzma kiakili yaani Kila mwanadamu ni mgonjwa akili hili halipingiki kama ukisoma vizuri MENTAL HEALTH (PSYCHIATRIC)
1.Ikumbukwe kuwa kila mwanadamu an personality yake
2.Hiyo hiyohiyo personality ikipungua inakuwa ungonjwa hivyo hayupo mwanadamu anayesimama normal
Nitataja aina za personality na maana zake ikumbukwe personality cyo ugonjwa...
Ila magonjwa ya akili yamegawanyika sehemu kuu mbili yaani (a)psychosis (b)Neurosis
Twende kwenye personality hapa Kila mwanajf ataguswa kama hujaguswa na personality yoyote basi wewe ni jiwe....
Types of personality
a)SCHIZOID/INTROVERT PERSONALITY
This are people who so quiet also their not easily drawn in social activities
-Also afraid to people
-Their like to be alone hapa tayar nmeshamgusa bwana Newton hakuna ujanja
-watu hawa pia there have few friends
-They sometimes there over independent to others
-Kitu kidogo ameshawaka(They get annoyed easily)
Psychological problem may develop this people,
This people may count in psychological problems kunakitu kinaitwa SUICIDAL wanaweza kudevelop
Watu hawahawa have cruel behavior (Wakatiri)
Also are good Raper maana hawezi kupiga voko vijana wakileo wanasema
-Watu hawahawa ni Voyalism yaani wapiga chabo wazuri
Tabia nilizozitaja hapo juu SI lazma mtu awenazo zote pengne mbili au kazaa kumbuka huu SI ugonjwa ni tabia ya mtu ambayo huzaa ugonjwa...
Tunaendelea personality nyingine ni..
(b)OBSSESSIONAL alimaarufu PERFECTIONIST unaweza pia waita OBSSESSIVE COMPURSIVE PERSONALITY
systemic concern doing the right mfano amelala usiku akijashituka usingizini anaenda kucheki kama amefunga hajiamini..
-Yaani a large number associate high ethical standards and normally high practical value in term of competent
and relayability
Watu hawa they are not have psychological problems that can cause to admit
But their behavior can disturb others mfano mlikuwa mnafanya assignment darasani au mpo kwenye kikao mnaandaa mutsari anakosea kuandika spelling moja anachana karatasi yote aanze upwa kuandika wakati mulikalibia kumalza.
(C)HYSTERICAL PERSONALITY nene hili limetoka ktk lugha ya kigiriki (hyteral-Uterus)
Iko hivi,Watu hawa normally are women who is deeply in sexuality and tense to be emotional flamboyant
-This kind from day to day complain they are failure to make lasting relationship anaweza kuzuga mgonjwa akapewa matibabu wengine huzuga kuzirai mpaka wengine hutamani wafanyiwe operation ili wapenz wao wawapende..
(d)ANTISOCIAL PERSONALITY
Are those people get repeated conflict in the society
-They no concern with others
-Normally they tend to ignore social value according to their desire the punishment they not teach them
-This kind of people they have few friend
-Can not resist temptation
-They blame other in wrong doing.
-Watu hawa utotoni huwa na tabia hizi
TRUANCY -utoro shulen
THIEFT
LYING
also poor performance in school
pia kidogo nisahau watu hawa huwa ENURESIS yaani vikojozi
(e)MESOCHIST PERSONALITY
This people are having SADISTIC behavior
anaweza akamkata mwenzake kiwembe damu zikamtoka harafu yy akafurahi kwel.
pia awasingizia wenzake wapate adhabu
au wazaririke
(f)PASSIVE AGGRESSIVE PERSONALITY /....DEPENDENT
This people is areas of loss or fear of loss(most of this people are lack mothering) wale watoto waliopelekwa kwa bibi anaishi na mtoto
-acceptable to depressive episode
(g)TIMIDITY PERSONALITY
Individual show abnormal assertiveness are aware filling of anger and hostility but has difficult in communication
-Also experience anxiety
-Guilty feeling
watu hawa huweza kudevelop Physchophrenia
(h)SENSITIVE PERSONALITY
These people are like mesochist but this one they tend to exgrate the offensive behavior (wazee wakuongeza chumvi ili kuibua mizozo wamo humu jf
(I)ANXIOUS PERSONALITY
This people who are closing bridges b4 reaching to the bridges.
Have a tendency of antspeting troubles (kwa wanafunzi mfno wale kusema huu mtihani utakuwa mgumu kabla hajauona)
(j)PARANOID PERSONALITY
This people are over sensitive
-They are suspicious (kuhisihisi watu Tu kwa mabaya) mfano umewekewa chakula mezani unahisi umewekewa kwenye chakula dawa ufe.
-Watu hawa they attendance of blaming others mfano Mimi cjafanikiwa sababu ya flani ..wapo wengi Sana mitaani na hata humu jf
(k)EXTROVERT /MANIC PERSONALITY
These are outgoing person hawa watu ni wawazi
-Yaani they explains themselves freely.
-They make social easily
-They so chiefly
Na hii ndo personality yangu siwezi kuficha ukweli.
Ila pia Kuna hawa INTROVERT personality hawa wasili wakikosewa hawasemi
(l)PSYCLOTHYMIC PERSONALITY
watu hawa wana swimming mood
-The emotional ranges from mild depression,elation sometimes flat mood (unamkuta mtu hajafurahi hajanuna yupo Kati)
-Watu hawa they develop manic depressives psychosis
Yapo mengi Sana juu ya magonjwa ya akili kwahyo mpaka hapo utagundua kuwa Kila binadamu ni kichaa japo tunazidiana kutokana na vitu tofautofauti inaweza kuwa mazingira,vyakula tulavyo n.k
karibu kwa michango
Nimesoma na jamaa mmoja hivi ametulia kichwani ILA ili mambo yaende sawa lazima ajiboost na petrol da! Ilikuwa taabuteh teh , mkuu umenifanya nicheke sana.
Kifupi ni kuwa ili mtu uwe genius lazima akili istimuletiwe ifike viwango fulani vya kufikiri, namna ya kufika huko ni za ajabu balaa.
Mfano Mwanasayansi wa kifaransa Kekule aliyegundua formula ya benzine aliigundua kwa kulala usingizi hii ni baada ya akili ya kawaida ku-fail na ikawa ndio staili yake ya kufanya mambo yake, yaani akihisi kitu kimemshinda anakimbia kupiga usingizi na solution inamjia ndotoni.
Kuna mwanasayansi mmoja nilikua namfuatilia juzi yeye anadai akiwa na ishu nzito ya kiugunduzi njia yake ya kustimuleti mind yake kufikia high level of thinking ni through sex, yaani makemikali yakimchanganya laboratory akakosa majibu inabidi aende kwa wife kwanza kujipoza, na katikati ya mtanangle ndipo solutions nyingi zinakuja.
Wengine ni through intense meditation, wengine through kujitenga na jamii kwa muda mrefu.
Kifupi ni kuwa average man anatumia only 7% ya uwezo wa ubongo wake lakini magenius wengi wanatumia more than 24% ya bongo zao, sasa kimbembe kipo hapo jinsi ya kuji boost kutoka 7% mpaka hio 24%
teh teh teh petroli??Nimesoma na jamaa mmoja hivi ametulia kichwani ILA ili mambo yaende sawa lazima ajiboost na petrol da! Ilikuwa taabu