Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
Bipolar disorder inaweza kuridhiwa ikiwa depression hairidhiwi coz inajumlisha disorder mbili mania na depressionHapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bipolar disorder inaweza kuridhiwa ikiwa depression hairidhiwi coz inajumlisha disorder mbili mania na depressionHapana
Mkuu unazijua sign na symptoms za mental illness?Most of those you mentioned were introverts. Introversion sio ugonjwa ni social orientation.
Ha ha haNimesikitika kutokuona ULEVI hau husik na Ukichaa au u Genius.
Kuna pwenti kubwa sana hapa mkuu umeiongea, japo sidhani kama wengi wameionaUkichaa au u genius ni kuwa na uwezo wa kufanya mambo au kuwaza tofauti na ilivyo kawaida kwa watu wengi.
Hawa watu wawili wanashea mambo mengi pamoja mfano. Kupenda kujitenga, kutojali usafi wao, kutojali wewe unawaza nini na kuamini mawazo yao.
Kuhusu hlo la mashoga kuondolewa katka kundi la mental illness lipo ksiasa zaid hilo limezuka baada ya mambo ya yaki za mashoga but kisayansi linabaki kuwa n tatzo la kiakili. Rejea definition ya mental health vzr unaweza ukanielewaKuna conditions nyingi zamani zilitafsiriwa kama mental illnesses lakini kwa sasa zimetolewa.
Kuna watu wanaamini gays/lesbianism ni mental illness.
Kuna familia moja kuanzia Baba na watoto wote wamekuwa vichaa tena kila mmoja amenzia akiwa mkubwa.....je hapo hatuwezi kusema ni wa kurithi?Hapa sina uhakika kama kila ugojwa wa akili unaweza kurithiwa
Magojwa ya akili yanayoweza kurithiwa ni Schizophrema na Bi polar,Ingawa chance ya kuyapata ni ndogo sana
Mimi nafikiri ni background ya mtu mwenyewe.
Maana ukichaa haurithishwi na wenye tabia hizo sio wote
Sasa huyo mkitaka kumpoteza wakamfungie wodi ya vichaa, atakuwa km ndondocha.nina ndugu yangu ana akili mno.yaaan ni wale mageneous ambao hata shule hataki maana anakua wakwanza kila mtihani adi chuo aliaacha maana haoni cha kusoma.sasa kitabia ni mchavuuu mlevii na utukutu tu.ila hata ukikaa nae dk 1 ukaongea nae utagundua utofauti.alianza taratibu sasa kawa too much.kuna mda tulihisi anadata tukampeleka hospital .bwana kule akawa friend wa dk maana alikua anawahi kila siku kwa dk mwenyewe kumbe alivipenda vitabu vya dk ofisini.sasa dk anasema muacheni tu maana akili zake znamletea ukichaa.imefika mahala dk anamuita wanafanya discussion na wanafunzi wake.ila anakua maji na anaenda nao sawa .
kwa nini mkuu??hebu nisaifie kidogo kuhusu ili tatizo lake!kuna mda adi anatia huruma ila wala hana neno.akikuta cjui pc imeharibika ni dk 5 kamaliza kazi.wanamuitaga makampuni anafanya kikazi chao wanampa chake kamaliza anaenda lewa zake.aloo ooSasa huyo mkitaka kumpoteza wakamfungie wodi ya vichaa, atakuwa km ndondocha.
Hatuwezi kusema with 100% certainty kuwa ni wa kurithi,ila inawezekana ukawa wa kurithiKuna familia moja kuanzia Baba na watoto wote wamekuwa vichaa tena kila mmoja amenzia akiwa mkubwa.....je hapo hatuwezi kusema ni wa kurithi?
100%[emoji106]Hatuwezi kusema with 100% certainty kuwa ni wa kurithi,ila inawezekana ukawa wa kurithi
Kuna sababu nyingi zinazosababisha matatizo ya akili.
Baadhi ni;
Biological factors
Social factors
Psychological factors
Na family history
Case kama hiyo,tunaweza kusema imetokana na historia ya familia yao au mazingira wanayoishi.Labda
Dah, this is very interesting aiseeenina ndugu yangu ana akili mno.yaaan ni wale mageneous ambao hata shule hataki maana anakua wakwanza kila mtihani adi chuo aliaacha maana haoni cha kusoma.sasa kitabia ni mchavuuu mlevii na utukutu tu.ila hata ukikaa nae dk 1 ukaongea nae utagundua utofauti.alianza taratibu sasa kawa too much.kuna mda tulihisi anadata tukampeleka hospital .bwana kule akawa friend wa dk maana alikua anawahi kila siku kwa dk mwenyewe kumbe alivipenda vitabu vya dk ofisini.sasa dk anasema muacheni tu maana akili zake znamletea ukichaa.imefika mahala dk anamuita wanafanya discussion na wanafunzi wake.ila anakua maji na anaenda nao sawa .
yaezekana huo tunaoiuta ugonjwa wa akili ni genius fulani tuliyopewa na Mungu ila hatujaigunduaIla misisahau kila MTU n mgonjwa Wa akili
Uko sahihi mkuu....Ila misisahau kila MTU n mgonjwa Wa akili