teh teh , mkuu umenifanya nicheke sana.
Kifupi ni kuwa ili mtu uwe genius lazima akili istimuletiwe ifike viwango fulani vya kufikiri, namna ya kufika huko ni za ajabu balaa.
Mfano Mwanasayansi wa kifaransa Kekule aliyegundua formula ya benzine aliigundua kwa kulala usingizi hii ni baada ya akili ya kawaida ku-fail na ikawa ndio staili yake ya kufanya mambo yake, yaani akihisi kitu kimemshinda anakimbia kupiga usingizi na solution inamjia ndotoni.
Kuna mwanasayansi mmoja nilikua namfuatilia juzi yeye anadai akiwa na ishu nzito ya kiugunduzi njia yake ya kustimuleti mind yake kufikia high level of thinking ni through sex, yaani makemikali yakimchanganya laboratory akakosa majibu inabidi aende kwa wife kwanza kujipoza, na katikati ya mtanangle ndipo solutions nyingi zinakuja.
Wengine ni through intense meditation, wengine through kujitenga na jamii kwa muda mrefu.
Kifupi ni kuwa average man anatumia only 7% ya uwezo wa ubongo wake lakini magenius wengi wanatumia more than 24% ya bongo zao, sasa kimbembe kipo hapo jinsi ya kuji boost kutoka 7% mpaka hio 24%