Uhusiano wa umri wako na wewe

Uhusiano wa umri wako na wewe

Ukiwa na afya bora unaweza kuwa na miaka 60 ila una mtazamo wa kijana wa miaka 27 na ukiwa na afya duni unaweza kuwa una miaka 27 ila una mtazamo wa mzee wa miaka 100.
Utakuw na 60years ukawaz kama 27 years ,
Unajua mwenye 60 years amekutan na mengi kuliko wa 27 labda kama atakuw anaumwa akili yaan akili zake zina jiformat alivyofk 27 maisha yote awez weka kumbukumb za ujifunzaji na uzoefu
 
Sisi wengine tunaitwa mababu hata 25 hatujafika, umenitonesha kidonda kaka. Dah
 
Back
Top Bottom