Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"


Mkuu umesema ''kitu pekee'' kinachokufanya uendelee kusoma simulizi hii ni kwa sababu mzee wetu JBourne59 ni mkweli akisema inaendelea leo inakua hivyo ?

Unamaanisha hauvutiwi na kitu kingine chochote ?
Nimejisikia vibaya sana kwa maneno hayo ''kitu pekee''.
Naona kama ni discredit, tafadhali mkuu naona ufute kauli yako vinginevyo ''NITASHIKILIA SHILINGI KWENYE MSHAHARA WA WAZIRI'' au ''nitakuwekea vikwazo vya kuingia kwenye taifa langu''...
 
Hii simulizi ni tamu sana, unasoma kitu unapose kidogo unaanza kuvuta taswira ya kitu tajwa kisha unafananisha na hali ya sasa. Ni simulizi iliyojaa Mafundisho mengi, mbinu nyingi kwa mabaharia wanaochipukia, historia ya baadhi ya vitu vilivyopo sasa na hata busara. Hakika ni simulizi iliyoandikwa kwa uandishi uliotukuka na wenye kutoa undani wa mambo yasimuliwayo.
 

Hongera kwa kumbukumbu pia kwa uandishi mzuri
Naweza kupata soft copy ya French sex art manners?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa kumbukumbu pia kwa uandishi mzuri
Naweza kupata soft copy ya French sex art manners?


Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na hardcopy, lakini aliyeniazima hajarudisha na sijui alipo, ilikuwa miaka ya 1990 mwanzoni.

Awali alisema kuna mtu alimuazima, du!

(Ukiazima usiazimishe)

James Jason
 
Nilikuwa na hardcopy, lakini aliyeniazima hajarudisha na sijui alipo, ilikuwa miaka ya 1990 mwanzoni.

Awali alisema kuna mtu alimuazima, du!

(Ukiazima usiazimishe)

James Jason
Mheshimiwa sana JBourne59 ,sijaona sehemu ikionesha HAMIDA wako akikiri kuwa naye alivutiwa nawe kimapenzi ila inaonekana kama alikukubalia ili kuepuka kuolewa na mbabu wa Yemen!
 
Mheshimiwa sana JBourne59 ,sijaona sehemu ikionesha HAMIDA wako akikiri kuwa naye alivutiwa nawe kimapenzi ila inaonekana kama alikukubalia ili kuepuka kuolewa na mbabu wa Yemen!
Siku niliyo mwambia ahsante kwa kunikubali alisema hajanikubali, alikuwa anawashwa tu alitaka atoe ny*ege

By the way, hawa viumbe majibu yao ya kukubali huwa wakati mwingine ni tata sana...

Anaweza kusema sitaki, sitaki, sitaku lakini anainua kiuno utoe chupi kwa urahisi...

Wakati mwingine husema nimekubali kwa kuvunjavunja vijiti amba kuchorachora ardhini kwa vidole ama kiatu, au utamuona anayumbayumba tu huku ameinama, au atajiweka kidole mdomoni ilimradi atainesha dalili ya kukubali..

Hata kukaa kimya pia, ni kukubali kwa asilimia nyingi...

Kama hataki atasema hivyo kwa herufi kubwa na utajuwa kuwa kweli huyu hataki ama bado hajakubali...

Mabinti wa enzi hizo walikuwa wanafundwa, na kwa vijana wa wakati huo (hata sasa wanaume wengi tumeumbwa hivyo), ukikubaliwa utajuwa tu hata kama hajasema.

Hamida alinikubali na kunipenda kwa kukiri kwa aunt yake.. Kisha akaja kuniambia kama hadithi. So lovely.

Soma simulizi yote vizuri.

James Jason
 
Kwa darasa unalotoa humu,ni elimu tosha ya jando kwetu vijana.
Nadhani kuanzia sasa vijana hawatajisumbua na vumbi la mkongo au kukuza maumbile bali watakuwa wanaitafuta G-spot na (A na U spot kitu ambacho sikuwahi kujua kama kipo).
Hii imeishatoka kuwa simulizi ya kupotezea muda na imegeuka darasa huru la mahusiano kwa wengi wetu.
Kongole mkuu.
 
Sawa mkuu nimepaona ,siku uliyomgusa mkono kwa bahati mbaya (ingawa baharia ulikusudia kama ulivyosimulia),akasisimkwa...
 
kongole mkuu, kwa kutoa simulizi bora. Umefuata taratibu zote za uandishi. Natamani nije kuona umeandika kitabu, nadhani kitakuwa kitabu bora sana
 
Simulizi ndo imeisha ama? Mzee hongera sana. Naomba nifaham kama imeisha au bado please.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado sana

Sijapeleka posa

Itaishia nitakapozaa naye mtoto wa kwanza 1984, sasa ni 1982

Kuna mengi ya kujifunza kwa vijana
Kwa wakongwe ni kumbukizi nzuri pia.

Endeleeni 'kupiga' LIKEs ziniondolee maumivu ya kufinywa na kusukumwa sukumwa mabegani

The More the likes, the more the writting moral.

James Jason
 
Challenge "A"

Wanaotaka niandike na kupost leoleo sehemu ya 13 wa-like post hii

Lakini wanaotaka niandike hadi kumaliza sehemu yote ya 13 waweke like kwenye post ya Challenge "B" inayofuata

Watakaoshinda hadi ni wenye likes nyingi kwenye post husika

Mwisho wa kupiga like kwa challenge hii ni saa tatu kamili leo usiku kwa saa za Africa Mashariki.


James Jason
 
Challenge "B"

Wanaotaka niandike hadi kumaliza sehemu yote ya 13 waweke like kwenye post ya Challenge "A" hapo juu.

Watakaoshinda hadi ni wenye likes nyingi kwenye post husika

Mwisho wa kupiga like kwa challenge hii ni saa tatu kamili leo usiku kwa saa za Africa Mashariki.

James Jason

James Jason
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…