Dannis
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 1,603
- 1,702
SEHEMU YA 14
************
Tulitua Dar International Airport (DIA) around saa kumi na moja. Baada ya kupita sehemu za ukaguzi nilitokeza nje, ghafla niliona nafumbwa macho kwa mikono iliyotokea nyuma yangu. Nikampapasa lakini sikumtambua mara moja, akaachia mikono na kuanza kucheka...
Nikashangaa sana kumuona Marry pale airpot.
"Wee vipi mbona uko hapa muda huu?" Nilimuuliza kwa kushangaa.
Nikafikiria labda kwa kuwa alikuwa anajuwa ratiba ya ndege yangu hivyo amekuja kunipokea...
"Nimetoka kumsindikiza 'Mangi', ndugu zake walikuja, pamoja na maendeleo mazuri aliyonayo lakini wamesema waende naye akapumzike kidogo Moshi, wameruka muda si mrefu na ndege ya saa kumi na nusu ndio nikaona bora nikusubirie" Alisema huku tukielekea sehemu za teksi.
Pamoja na kwamba Marry amenizidi umri, bado alikuwa mrembo sana, mrefu, maji ya kunde na meno yaliyopata rangi kwa athari ya maji yenye madini. Alikuwa amevaa gauni la kawaida na kichwani amejitanda mtandio mwepesi.
"Umependeza" Nilijikuta namwambia
"Ahsante, ila wewe umependeza zaidi" Alijibu.
*******
Nilimuamuru dereva wa teksi atupeleke Mabibo kwanza kisha ndio anishushe mimi Magomeni. Lakini Marry alidakia...
"Twende Magomeni kwanza dereva"
Mmh, machale yakanicheza, nikaanza kuwaza yaleyale ya kutaka nimsaidie. Dereva alipitia barabara ya Pugu (now Nyerere rd) hadi maeneo ya Dar-Tech (sasa DIT) kisha akakunja kufuata barabara ya Morogoro.
Njiani Marry alinidokeza kuwa ndugu wa mume wake wanataka wajaribu na dawa za kienyeji, wamedokezwa kuwa kuna mganga anafahamu tiba ya kisukari huko huko Kilimanjaro. Nilimuonya kuhusu udanganyifu wa waganga ingawaje wapo wenye kujuwa mizizi ya ukweli, kwani hata sisi tumetumia sana dawa za mizizi kwa maradhi mbalimbali na ilitusaidia. Tuliongea hadi tulipokaribia kufika nikamwelekeza dereva akunje kulia kulelekea nyumbani.
Wakati wa kushuka Marry naye alishuka akasema ana mazungumzo ya kiofisi hivyo tulimruhusu dereva wa teksi aende baada ya kumlipa ujira wake.
"Karibu Marry" nilisema huku nikifungua mlango.
Nilimuacha Marry sebuleni, nikatoka nje 'kulipasha gari moto', nililiacha liendelee kuunguruma nikarudi sebuleni na kuanza kuongea na Marry.
"Enhe, nipe ripoti za kazini siku ya leo" Nilisema.
Marry alianza kuelezea yaliyojiri kwa kirefu, maana kwenye simu wakati nipo Unguja alinieleza kwa ufupi. Nikaelewa na tukaanza mazungumzo mengine.
Mara nikamuona Marry anakuja upande wangu, Hapo bado nilikuwa nimevaa kanzu na kofia na muda wa magaharibi ulikuwa unakaribia.
"Boss, nisamehe, lakini sina pa kukimbilia, sitaki kuwa malaya, please na leo nisaidie please" alisema huku akiwa amekaa juu ya kochi.
Kabla ya kukutana na Hamida, kawaida yangu ilikuwa karibu kila siku ama kila baada ya siku moja nipate msichana wa kustarehe naye, lakini tangia nimeanza kumfuatilia Hamida ratiba yangu ya uzinzi ilibadilika sana, nilikuwa siwazi sana mambo hayo, ukizingatia tayari nimeanza kuufuata uislamu, na pia kukusanya nguvu kwa ajili ya Hamida.
"Nenda jikoni kaangalie kama kuna chochote cha kupika maana leo sijisikii kutoka" Nilisema bila kujibu swali lake.
Marry aliinuka na kuelekea jikoni, nami nikatoka kwenda kulikagua gari na kulizima.
Nilivyoingia ndani nikaenda kuoga na kujiandaa kwa ibada ya swala ya magharibi. Nilivyomaliza kuswali, nikarudi sebuleni na kuketi nikiwa nimevaa bukta na vest. Marry alikuwa jikoni akipika.
"Grrriiiiin ghrrrrin, Grrrriiiin Griiiin" Simu iliita.
Nikaipokea.
"Halo" nilisema
"Hallow, saaleku"
Sauti ya kinzanibari ilijibu, alikuwa ni mamkuu.
"Wa aleikum salaam wa rahmatullah wa barakatu, habari za mida?" Nilisema
"Alhamdulillah, sie wazima hofu ni kwako uliyesafiri, umefika salama eee!" Alisema
"Nimefika salama salmin, namshukuru Mwenyezi Mungu" Nilijibu.
"Hamida anatusumbua huku anasema anataka akusikie, sijui umempa nini mwanetu!"
Katika ile postcard niliyomwachia pamoja na zawadi nyingine, niliandika "I missed you already", nafikiri ameisoma sasa inampa msukumo wa kunitafuta.
"Haya nipe niongee naye" Nilisema
"Assalaam aleikum." Alianza
Nikamjibu kisha nikamwambia nimefika salama.
"Yani ndio nimefungua ile post kadi, nami nimeshakumiss" Alisema kwa sauti ile ya kama kutaka kulia.
Nikaona huyu bila kumchekesha hapa pataanguka kilio muda si mrefu.
"Umejaribu zile cheni?" Nilimuuliza
"Eee tayari na zimenitosha" Alijibu
"Siku ukija Dar utakuta zawadi yako nyingine nzuuuuri" Nilimtamanisha.
"In shaa Allah yakipita haya kwanza, nitakuja tu usijali" Alisema.
Tuliongea weee....
Marry akawa anaandaa chakula, nikamfanyia shhhhhhhhh kwa kidole kwenye mdomo kisha kidole nikionesha kwenye receiver ya simu. Akaelekea jikoni.
Baada ya dakika kadhaa tukakata simu.
"Chakula tayari" Alisema Marry.
Akaandaa vizuri tukaanza kula. Alipika ugali kwa mboga za samaki wa kopo (saladin)
Mazungumzo na Hamida yalinifanya nisisimkwe kiasi cha kudindisha, baada ya kula tu nilimwambia Marry akaoge, nikaingia chumbani kwangu nikampatia taulo, naye akaingia chumba kile kingine akavua nguo na kuvaa taulo tayari kwenda kuoga.
Kwenye kile chumba kulikuwa na meza ambayo niliitumia kuhifadhia maboksi fulani hivi ya ‘makabrasha’ nilivyotoka navyo masomoni, haraka haraka nikayaweka chini na kuiandaa meza kwa ajili ya kazi maalum, kisha nikatoka kuingia chumbani kwangu.
Muda si mrefu Marry naye akawa ametoka bafuni na kuingia chumba kile, nami nikamfuata, nikamnyang'anya taulo na kuanza kumfuta mgongoni akiwa amesimama, kisha nikamfuata kwa mbele, nikamfuta, nywele zake zikikuwa kavu, sijui kwa nini wanawake hawapendi kuosha nywele mara kwa mara.
Nikachuchumaa na kuanza kumfuta miguu kuanzia kiunoni, kisha nikamwambia apandishe mguu mmoja kitandani nipate nafasi ya kupitisha taulo katikati ya mapaja kwa ajili ya kumfuta.
Nilivyomaliza nikamwambia alale kifudifudi (kulalia tumbo) pale kitandani. Nikamwambia nisubiri, nikaenda kuchukuwa mafuta ya nazi (nilinunua Unguja) na nikaanza kumsinga taratiibu mabegani. Niliendelea hivyo kwa muda kisha 'nikaruka' na kuhamia kwenye nyayo.
Nilimpakaa mafuta nyayo zote na kuanza kuzisinga taratibu kuanzia visiginoni hadi ncha za vidole huku naminyaminya, nilikuwa nafanya hivyo ili apate ku-relax.
Marry alikuwa ametulia tu akishangaa huduma anayopewa leo.
"Hii ni mara ya mwisho nakusaidia" Nilisema wakati nimerudi tena mabegani na kuanza kumsinga huku nikishuka mgongoni kwa kuukwepa uti wa mgongo kulia na kushoto nikiendelea kusinga taratibu kwenda kwa juu na kushuka chini.
Nikafika eneo la kiunoni, Marry alikuwa havai shanga wala nini, kiuno kiko plain, nilisinga kwa mwendo wa kufuata uelekeo wa kiuno kisha napandisha juu ya uti wa mgongo kwa kulegeza nguvu ili asiumie uti kisha nashuka tena hadi mbavuni, kwenye hips kisha mat*ako.
Makalio yake ni yale 'dizain' kama ya kihindi, niliyaminya minya na kuukwepa mfreji wa suez, nilishuka hadi miguuni. Marry alikuwa akiguna tu, mmmh, mmmh, taratiiibu kwa kusikilizia mkando wa aina yake.
Nikamwambia ageuke alale chalichali (kulalia mgongo), nikaanza kumkanda vidole vya mikono yake, kisha nikaanza kusinga kuelekea juu hadi mabegani, hapo nikaweka kituo kwa muda, nikamsinga wee yeye akiwa anaendelea kutoa mguno ile ya chinichini.
Niliendelea kumsinga kifuani kwa kukwepa eneo la matiti, nikashuka hadi kitovuni na kiunoni, nikaanza kufuata uelekeo wa kiuno hadi pembeni nyongani, kisha nikaendelea kumsinga mapaja taratibu hadi miguuni.
Marry alikuwa amefumba macho tu kwa raha huku akionesha kutabasamu. Nikaongeza mafuta na kuanza kumsinga matiti yake kwa pamoja, nilisinga kwa mtindo wa mzunguko kinyumesaa (anticlockwise), kisha nikaanza kuchanganya huku nikiwa nipitia kwenye chuchu mara kwa mara, miguno ya Marry ilianza kuzidi, nilimsinga weee hadi chuchu zikisimama na kuweka vipele vya msisimko, nilivyoona amekolea, nilishuka kupitia mbavuni kushoto na kulia hadi nyongani kisha nikaja kinenani, nikapakanda taratibu huku nikikwepa kugusa kis*imi, nikampanua mapaja akasaidia kupanua na kupata nafasi ya kusinga ndani ya mapaja kisha nikaanza kupita pembeni pembeni mwa papuchi...
Ute ulianza kuonekana kwa nje ya papuchi, she was very wet already, nikaanza kusugua mashavu ya kitumbua hadi mwanzo wake kwa juu, nikaendelea kusugua hivyo huku nikiongeza kasi kidogo kidogo, Marry akawa hajiwezi, akawa anatoa sauti sasa kwa sauti kubwa, nikaanza kusugua kis*imi kutokea kwa juu hadi kwenye kigoroli kwa mara kadhaa kisha nikahamishia makazi hapo kigorolini.
Shuka lilianza kulowa, nikachukuwa taulo na kumuwekea kwa chini, niliendelea kumsugua kigoroli hadi akalegea kabisa...
Nikatoa bukta na vest, nikamwambia akae kwenye ile meza, mie nikawa nimesimama nipo katikati ya mapaja yake, nilisugua sana kisi*mi kwa dushe hadi akarusha maji, nikaingiza dushe piga sana tako, akawa akawa anasema eee, eeee, eeee, nikachomoa dushe akarusha maji, nikaingiza tena dushe, ikawa ni mwendo wa kutoa maji hadi analegea lakini muda huo huo anasema anataka tena, nilipiga brush na tako za maana hadi awawa hawezi tena...
Baada ya kujimwagia maji niliendelea kumsaidia tukiwa kitandani hadi akawa hatoi ushirikiano tena, nikajuwa huyu tayari amesadika.
Saa tano za usiku nikampeleka kwake, nami nikarudi na kuoga, niliona tabu hata kuswali usiku huo. Nililala nikiwa mwepesi na kuondoa ny*ege nilizokuwa nazo.
"Mwanaume unajuwa kut*omba wewe! Mbona Mwarabu atafaidi!" Alisema Marry huku akiniandalia chai afisini kwangu kesho yake.
"Yani niko mwepesii, sijawahi kupata huduma kama ile maishani" alisema tena huku akiwa anatabasamu.
"Ndiyo nilikuwa nakuaga, maana sidhani kama tutarudia tena" Nilisema huku simwangalii naye akatoka bila kusema kitu.
***
Baada ya wiki chache nilipata barua ya kupandishwa cheo na kupewa nafasi ya kukaimu mkoa kwenye fani yangu ambapo nilichukuwa nafasi ya mfanyakazi aliyeenda masomoni.
Hamida alipiga simu mara mbili tu tangia nilivyoondoka Zanzibar, kila nipiga kwa mamkuu naambiwa hayupo, amechukuliwa na aunt yake.
Nikawa natamani niende Msasani kufuatilia lakini nikakumbuka maneno ya Hamida kwamba niwe na subira kwani sakata lake la Oman bado halijaisha.
Kwa maalim Juma niliendelea kusoma kwa kulegeza ratiba, ikawa ni mara mbili kwa wiki, lakini nilikuwa mara kwa mara nahudhuria darasa za jioni baada ya magharibi hadi isha.
Sikuwa tena naenda kwa mzee Burhani lakini siku moja moja tulikuwa tunaonana naye pale Shibam kijiweni.
Hakuna aliyehisi kama nimempenda Hamida mle ndani kwa mzee Burhani. Ni Unguja tu na kwa aunt yake ambao walikuwa upande wa Hamida kwamba asiolewe na huyo mtu wa Oman.
Utendaji wangu kazini ulikuwa mzuri na mkoa mzima uka-adopt mbinu niliyokuwa naitumia Wilaya ya Kinondoni katika ugawaji wa bidhaa kwenye maduka. Licha ya bidhaa kuzidi kupungua lakini hapakuwa na malalamiko yaliyokithiri isipokuwa madukani kwenyewe.
Siku moja niliikuta memo ofisini kwamba Jumamosi inayokuja nisikose kwenda DDC Mlimani Park.
Memo ilikuwa kwenye bahasha ya kaki, haina anuani itokapo, Marry aliniambia kuna kijana mmoja aliileta na kukuulizia wakati umeenda msikitini. Alisisitiza ni muhimu.
Ilikuwa ni Ijumaa, hivyo nina saa chache tu kabla ya kuitikia wito wa ile memo. Nikawa nawaza, kama ni mambo ya kazi kwanini nialikwe DDC? Kama ni suala la Hamida, mbona wao na miziki ni mbali na mbali? Hatimaye nikapotezea.
***
Nilivaa jeans rangi la blue, shati kadet na safari buti chini, nikachana nywele zangu vizuri, nilianza kunyoa ndogondogo, ule mtindo wa afro niliuacha, nikachukuwa batavuz hadi DDC Mlimani park, ilikuwa mida ya saa mbili na nusu hivi, nikaagiza club soda na kuanza kunywa taratiibu huku nikisubiri wageni walioniita.
Nilichagua meza iliyokaa pembeni kwenye utulivu, mziki laini wa live band ulikuwa unaendelea japo ulikuwa ni instrumental ikiongozwa na solo guitar.
Kabla sijamaliza soda, walifika wanaume wawili, walijitambulisha kuwa ni marafiki wa mzee Hemed.
"Mzee Hemed yupi?" Niliwauliza
Wakanifahamisha vizuri kuwa ni yule mzee wa kiarabu wa Msasani, ndio nikaelewa kuwa ni kule kwa Shangazi.
"Tumekufuatilia nyendo zako kwa muda mrefu na kumpelekea mzee ripoti, lakini tulitaka kuongea nawe ana kwa ana ili tusikie kauli zako" Alisema mmoja wao.
"Unamfahamu Hamida?" Aliuliza yule mwingine.
"Ndiyo, ni mtoto wa mzee Burhani" nilijibu.
"Tumeambiwa kuwa unataka kuvunja uchumba wake na aliyemposa, kwanini uingilie mapenzi ya watu!?" Alihoji mwingine.
Akapita muhudumu, wakaagiza safari nami nikaagiza club soda nyingine.
"Vipi unaumwa, mbona hutumii kinuwaji chako? (Pilsner)” Nilipachikwa swali lingine wakati muhudumu anaondoka
"Hapana, siumwi, tangia nimebadilisha dini nimeamua kuacha kunywa pombe" Nilijibu, wakaangaliana kisha mmoja akasema...
"Tuambie inakuwaje unataka kuvunja uchumba wa watu"
"Hapana, sijavunja wala sitaki uchumba wa mtu wala kuingilia uhusiano wa mtu, Hamida alikuwa mwalimu wangu wa masomo ya dini mara tu niliposilimu, alinisilimisha mzee Burhani nyumbani kwake na ndipo nilipomuona Hamida kwa mara ya kwanza" Nikanywa soda kidogo kisha nikaendelea..
"Kutokana na mazoea ya siku chache pamoja na jitihada zangu labda Hamida ndiyo akajenga hisia za kimapenzi kwangu, Hamida ni mzuri wa sura na tabia, hivyo kila mwanaume lazima ampende, lakini sikuweza kumuingia kwa kuwa tunatofautiana mila na desturi..." Nilisimama kidogo kisha nikaendelea.
Hapo wao wananisikiliza kwa makini huku wakinywa safari.
"Siku moja Hamida alikuwa hayupo sawa kwa kumuangalia usoni, akaniambia ameposwa lakini hampendi mposaji, na baba yake pia alikuja kuniambia wakati nilipokiwa namsubiri sebuleni wao walikuwa na kikao kifupi ndani, alipokuja ndipo na Mzee Burhani aliniambia kwa kifupi kuwa kuna posa imeletwa lakini Hamida hataki kuolewa..." Nikanywa soda kidogo kisha nikaendelea
"Hatimaye nikajikuta namtamkia Hamida kuwa nampenda, naye akasema alinipenda tangia alivyoniona mara ya kwanza hadi alitetemeka na kuangusha vyombo..."
Wakaangaliana kisha wakacheka, halafu mmoja akasema enhe!
"Siku inayofuata alizidi kunihoji kama kweli nampenda na kama nipo tayari kumuoa, nikamthibitishia, akaniambia kuwa nitapata changamoto nyingi lakini niwe mvumilivu ili muda ukiwadia ataniambia nipeleke posa" Nikasita kuongea...
"Kumbe hata posa hujapeleka!"Alishangaa mmoja wao
Nikawajibu kuwa ndiyo, sijapeleka posa na wala si mzee Burhani wala mkewe anayejuwa kama nataka kumposa binti yao.
Waliendelea kunihoji hadi walivyoridhika kisha wakanipa bahasha fulani wakaniambia niisome halafu niijaze, wao wataipitia ofisini siku ya Jumatatu, kisha tukaagana na wao wakaondoka, na mie sikukaa tena pale, nikachukuwa batavuz na kurudi nyumbani.
***
Marry aliendelea kusumbua kila Ijumaa jioni, alikuwa anakuja, uzalendo unanishinda tunakulana kisha nampeleka kwake.
=
Ukimya kutoka kwa Hamida uliendelea, bahati nzuri baada ya mwezi mmoja mwingine nikapewa nyumba iliyofanana na hadhi yangu kwa wakati huo, nilihamishiwa maeneo ya upanga mtaa wa Usevya na Kibasila, na afisi tayari nilihamishiwa ramsi nyingine, nikawa sikaimu tena bali nilichukuwa nafasi hiyo kabisa.
Makazi mapya yalikuwa yana nafasi ya kutosha, niliamua kumchukuwa mdogo wangu wa kike wa mwisho ambaye bado alikuwa hajaolewa, wale dada zangu wengine waliolewa huko Iramba, mmoja aliolewa na Mnyiramba na mwingine aliolewa usukumani.
Mdogo wangu kiume ambaye tayari nilimpeleka masomo ya ufundi stadi fani ya uashi, alikuwa tayari ameshaoa, niliwatoa kijijini na kuwapeleka Sanzale Bagamoyo ambapo nilinunua shamba, yeye alioa binti mmoja aliyechanganya kabila la kitaturu na Kinyisanzu.
Baba na mama walibaki Iramba, niliwatoa mbugani na kuwaleta Ibaga, ambako niliwajengea nyumba nzuri ya matofali na bati maeneo ya jirani na Kanisa la Kiijili la Kilutheli Ibaga pembeni kidogo ya stendi, Ng'ombe zilibakishwa sita tu, nne maksai kwa ajili ya kulimia na mbili zilikuwa friesian za maziwa ambazo zilikuwa zinaletewa malisho yake papo hapo pia nilikuwa nawasaidia sana kurahisisha maisha yao kwa namna mbalimbali. Maisha yalisonga, sikuwa na 'kero' ya Marry wala sikupata 'furaha' ya Hamida.
Mitaa niliyokuwa naishi sasa kuna bwana mmoja Singasinga akaipenda gari yangu, nikamuuzia kwa bei ya faida kidogo licha ya kuitumia kwa miezi kadhaa, nikabaki na batavuz, Hata hivyo niliagiza pickup nyingine aina ya Datsun kutoka Dubai (reconditioned), ambayo nilimpa mdogo wangu kwa ajili ya kazi za shamba, pia niliprocess mkopo kupitia Benki ya Taifa ya Biashara ili niweze kununua gari mpya ya kisasa.
Katika majarida nisomayo, niliona toleo jipya la Toyota Corona nikalipenda sana. Hivyo niliagiza Toyota Corona lift-back ya mwaka 1981 kupitia wakala wao waliopo jirani na makao makuu ya benki ya Taifa ya Biashara wakati huo.
Ratiba zangunza jioni na siku za mwisho wa juma zikazidi kubadilika, nilikiwa nafanyia ibada za asubuhi na jioni msikiti uliipo barabara ya Umoja wa mataifa jirani na Muhimbili, Sinema niliongeza ratiba kwa wiki na dansi ilikuwa ni siku moja moja sana (say, once a month).
Wingi wa kazi na ratiba za ibada zilinifanya nianze kumsahau Hamida hadi siku moja kaka yake Yasir alipokuja afisini kwangu.
"Assalaam aleikum sheikh Jamaal" alisema huku akitabasamu.
"Wa aleikum salaam wa rahmatullah wa barakatu" Nilijibu huku nikimkaribisha aketi. Kulikuwa na urasimu kidogo hadi kufika afisini kwangu hususani kwa wageni ambao si wa kiofisi, Katibu mukhtasi mpya aliponitajia kuwa ni Yasir mwarabu ndipo nikaruhusu aruhusiwe kuingia.
Neno Sheikh, maalim Juma aliniambia lina maana nyingi kutegemeana na mkhtadha. Nakumbuka alisema, mtu yoyote mwisalmu aliyekula chumvi nyingi (mzee) anaweza kuitwa sheikh kwa heshima. Pia alisema elimu ya dini kufikia kiwango fulani humfanya muislamu kuitwa Sheikh. Vilevile kiongozi wa kuchaguliwa na waumini ama taasisi kuongoza msikiti ama misikiti fulani huitwa Sheikh. Lakini nakumbuka alisema Imamu ni yule aongozaye swala katika ibada ambapo kuna imamu maalum na wanaojitokeza ama kuchaguliwa pindi imamu mkuu hayupo. Nakumbuka aliniambia pia kuna neno amir hutumika kwa kumtambua kiongozi wa kundi fulani katika dini, yaani mkiwa watu watatu, basi mmoja lazima awe amir wenu (kama vile mkuu wa kikundi ama msafara nk)
Nakumbuka pia aliniambia kuwa neno maalim maana yake ni mwalimu na ustaadh vivyo hivyo ni mwalimu wa dini. Lakini alisema neno sheikh laweza kutumika kwa kumtaja mtu usipotaka kutaja jina lake moja kwa moja ama kwa utani lakini siyo matumizi sahihi sana.
Yasir aliniita Sheikh Jamaal kwa heshima ama utani tu. Aliketi, tukazungumza mengi sana tangia tulivyoachana mara ya mwisho, nilimwambia nimepiga hatua kubwa katika masomo ya dini na nikamuonesha pale kwa kusoma aya mbili tatu kumthibitishia...
Alifurahi sana na kunipongeza. Aliniambia changamoto za kazi za usafirishaji, ikiwepo ubovu wa barabara, kupanda kwa bei ya vipuri nk.
Tuliongea sana lakini mwishowe akanipatia bahasha iliyofungwa. Nikamuuliza imetoka wapi, akaniambia mama Warda (mama yake) amempa aniletee. Nikaipokea nikaiweka kwenye droo ya meza. Baada ya kunywa soda na maongezi ya ziada mawili matatu akaniaga, akaondoka. Kwakuwa ilikuwa siyo barua ya kiofisi nikiona ni vyema nikaisomee nyumbani.
"Assalaam aleikum.
Habari za siku nyingi?
Nimekutafuta wiki nzima sijakupata, nikipiga simu nyumbani naambiwa hawakujui.
Jana Yasir kaja toka safari, nikamsimulia kuhusu wewe, mama yeye tayari alishaambiwa na wifi yake aunt wa msasani, hivyo nimemuomba mama ampatie Yasir ujumbe huu akutafute, ili ukiupata uje nyumbani siku ya jumamosi saa tano asubuhi maana nitatokea Msasani.
Tafadhali usikose.
Hamida"
Huo ndio ujumbe niliopewa na Yasir, Dah, kumbe tunaongea afisini Yasir ananichora tu, nilijisikia vibaya kiasi.
Niliurudia mara kadhaa, na kujaribu kuchambua huku nikipata furaha ya aina yake kwa kuona mwandiko wake na kuvuta taswira yake na yote tuliyopitia hadi sasa.
"Sijui wameshajua kama nilienda hadi Unguja!?" Niliwaza.
"Nitaenda" Nilijikuta nasema maneo hayo baada ya kukumbuka kumkosa Hamida kwa muda mrefu. Nilitamani nimuone tena Hamida wangu.
Alhamisi ilipita, na Ijumaa ikaenda vyema, mara paaap Jumamosi hii hapa.
Saa tano 'juu ya alama' nilibisha mlango nyumbani kwa mzee Burhani na kupokelewa na mzee mwenyewe. Moyo ulipiga paa! Lakini kama kawaida yangu nilishasoma dua kutoka kitabu nilichopewa na mzee Katibu Kata.
Kilikuwa ni kitabu chenye duwa arobaini maalumu zilizokusanywa kwa ajili ya mja kuomba apatapo shida mbalimbali ikiwemo kinga na tiba kwa baadhi ya maradhi. Mzee Katibu Kata alinihimiza nizihifadhi kichwani (kukariri) lakini nilihifadhi chache sana.
Nikiingia hadi sebuleni, nikakaribishwa vizuri. Niliwakuta watu wengi mle ndani. Baada ya salaam mzee Burhan alianza kwa kunitambulisha...
"Huyu hapa ni shemeji yangu anaitwa Mzee Hemed, na yule pale ndio mke wake, wanaishi msasani, huyu hapa ni kaka yangu yeye anaishi Zanzibar, yule pale ni mama yake mdogo Hamida naye anaishi Zanzibar...
Alikuwa akimuonesha yule somo yake Hamida, mie kimya kama simjui vile...
"Hawa wengine unawafahamu" walikuwepo mama yake Hamida, Kaka yake, mama mkubwa (wa kiafrika), Jumla tulikuwepo watu kumi mle sebuleni akiwemo Nadya, mtoto wa Warda.
"Tumekuita hapa kwa kuwa tumesikia unampenda binti yetu Hamida na umekusudia kumposa" Alitulia kidogo huku akikaa vizuri kisha akaendelea...
"Hamida alishaposwa na bwana mmoja yupo Oman, lakini bahati haikuwa yake, hajakubaliwa na mposwaji licha ya jitihada za hapa na pale." Akameza mate kisha akaendelea...
"Kama familia, tulifanya uchunguzi baada ya kupokea maelezo kutoka kwa Hamida kuhusu wewe na ripoti tuliyonayo ni kwamba ni kweli unayo niya ya kumuoa binti yetu"
Palikuwa kimya, Hamida kainama chini, Shangazi anamuangalia tu mzee Burhani anavyoeleza, na wengine wapo wanasikiliza.
"Eee, sasa tumekuita kwa mambo mawili, moja tupate kauli yako kama kweli una nia ya kumuoa binti yetu, na jambo la pili itayegemea na jibu lako" Akamaliza.
"Assalaam aleikum wa rahmatullah wa barakatu, Eee ni kweli nina nia ya kumposa Hamida na nikikubaliwa nitamuoa" Nilijibu kwa kifupi ili nisikie suala la pili.
"Jambo la pili ni kwamba, kwa kuwa umekiri mbele yetu kuwa ni kweli unataka kumuoa binti yetu, basi tunaomba ufanye utaratibu ili wazazi wako waje tuwaone kabla ya mambo mengine kuendelea" Alisema mzee Burhani.
"Kwa hiyo sasa naweza kuleta barua ya posa na kishika uchumba kupitia wazee wangu?!" Niliuliza huku kama nitetemeka kidogo.
Ghafla akadakia mzee Hemedi
"Kauli yako ya leo ni posa tosha, posa inaweza ikawa kwa barua ama maneno kwa mujibu wa dini yetu, na kishika uchumba si lazima na wala hakuna ulazima wa kuwasumbuwa wazazi wako ama mshenga eti kuja kuleta barua, kidini hata wewe unaruhusiwa kuleta posa moja kwa moja ingawaje kwa mila za watu wa pwani na bila shaka sehemu nyingine inakuwa kama umewakosea adabu wakwezo, lakini kwa kuwa sisi ni watu wa kufuata dini, tupo radhi. Posa tayari imefika. Lakini tunaomba ufanye utaratibu wazazi wako waje tuwaone ili mambo mengine yaweze kuendelea." Alisema kwa kirefu mzee Hemed.
"Eeee, ukifanya hima, nawe jambo lako litakuwa na wapesi, hivyo utatufahamisha angalau wiki moja kabla ili wa mbali nao wafike" Baba mkuu wa Zanzibar alidakia.
"Baba na mama yangu wanaishi Singida, nitawasiliana nao ili waje huku kabla ya msimu wa mvua maana wao ni wakulima. Na je, naruhusiwa kuja na watu wangapi?" Nilijibu na kuchomekea swali papo hapo.
"Mnaweza kuja watatu, watano ama saba kadri ya nafasi yenu" Alijibu mzee Burhani.
Nikakumbuka kuhusu namba witri (witiri) zilivyo bora katika uislamu kuliko shufwa. Nikaropoka tu...
"Tutakuja watu saba in shaa Allah, na nitawajulisha wiki moja kabla"
Wakafurahi, nikafurahi, nikaona mama Warda, mama Fungameza na Hamida wametoka, punde si punde wakaandaa maakuli.
Waliweka chai pamoja na vitu vidogovidogo, visheti, vileja, tende, na tambi kavu za pakti.
Baada ya kustaftahi mzee Hemed aliomba dua kisha tukaanza maongezi ya kawaida.
Nilipata wasaa wa kumpatia Hamida namba yangu ya simu ya afisini na ya nyumbani, hatimaye nikaaga na kuondoka kwa batavuz yangu.
***
Niliondoka pale nikiwa mwenye furaha ya kumuona tena Hamida na pia posa yangu kufika na kupokelewa. Nikawa najisemea moyoni kupokelewa imepokelewa, je itakubaliwa?
Nilienda moja kwa moja hadi nyumbani. Nilimuhadithia mdogo wangu habari ya mimi kupata mchumba. Alifurahi sana maana tangia afike hakuwahi kuona 'nikivusha' msichana yoyote mle. Angelijuwa enzi zangu nilivyokuwa, angechoka.
Nilijaribu kumshawishi mdogo wangu ahamie katika uislamu lakini haikuwa kazi rahisi hadi muda huo. Mdogo wangu wa kiume aliyepo Bagamoyo naye alikuwa mzito kubadili lakini nilijuwa mazingira ya kule hatimaye ataiona haki na kuifuata. Dada zangu wakubwa sikuwa na jinsi ya kuwalazimisha maana walishaolewa, nilijaribu kuwafikishia ujumbe tu kwa vijitabu mbalimbali vidogo vidogo vya kulingania lakini hapakuwa na mrejesho chanya.
Baba na mama waliacha dini ya asili na ku-adopt imani ya Roman Catholic kupitia mission ya Chemchem. Sasa nataka kuoa, inabidi nifikishe ujumbe kijijini, natarajia kuoa mwarabu, hata sijui watapokeaje. Nilimwita mdogo wangu wa Bagamoyo, nikamshirikisha, akafurahi sana, maana yeye tayari alishaoa na mkewe alikuwa anatarajia kujifungua miezi michache ijayo.
***
Kesho yake nilipiga simu RTC Singida na kiwaomba watume ‘Police Massege’ Kijijini kupitia mission ya Chemchem ili ujumbe umfikie mzee Jason.
Kutoka nyumba mpya ya baba na mama hadi misheni ni umbali wa kilometa kama nne hivi, hivyo kila Jumapili walikuwa wana kibarua cha kutembea kilometa zaidi ya nane.
Miaka hiyo, simu za mezani ziliishia miji mikubwa tu, hivyo haikuwa rahisi kupiga simu moja kwa moja hadi kijijini. Lakini kwa kuwa (kijijini) kulikuwa na kituo cha polisi na walikuwa na simu ya upepo, ikawa nafuu yangu kuweza kufikisha ujumbe.
***
Usiku ule nilipokea simu kutoka kwa aunt yake Hamida kisha akanipa niongee naye. Baada ya salaam na maongezi mawili matatu, nilimwambia aje ofisini kesho yake mida ya saa saba na nusu, tena aje akiwa hajala ili tupate wasaa wa kula pamoja.
Hamida alifurahi sana lakini akaniambia hawezi kwa kuwa anamalizia semina yake aliyoianza kuanzia Zanzibar na somo yake. Hivyo nivumilie hadi Jumapili ijayo atakapomaliza ili Jtatu aje afisini muda huo.
Nilihuzunika lakini nikakubali, wiki moja si mbali, nilijisemea.
Baada ya siku 4 nikapigiwa simu kutoka RTC Singida na kupewa mrejesho kwamba wazazi watakuwa tayari baada ya wiki tatu hivyo nifanye utaratibu wa nauli. Nilifurahi sana hivyo nikaanza mchakato wa kutaka kuwatumia nauli. Hii itakuwa mara yao ya pili kufika jiji la Dar es Salaam, mara ya kwanza walikuja miezi mitatu baada ya kupata kazi ya kudumu RTC.
"Gari yangu ingekuwa imefika ningewafuata mwenyewe" Nilijisemea na kuanza kuangalia kalenda ya ujaji wa meli kama nilivyoambiwa na wakala ya Toyota Tanzania. Ratiba ilionesha bado wiki tano meli ifike bandari ya Dar es Salaam. Nikajikuta nasonya tu.
Hapo nyumbani nilianza kufanikiwa kumbadilisha mdogo wangu Rehema kwa mavazi, nilimueleza umuhimu wa kufunika nywele na kuhifadhi mwili kama wafanyavyovaa watawa, alikubaliana nami baada ya kumzidi hoja naye kuona mantiki ya kuhifadhi mwili wa mwanamke, taratiibu akaanza kuomba nimletee mitandio na akaanza kuvaa nguo ndefu ndefu. Kwa mavazi yale ikawa si rahisi kwa mgeni kujuwa kama yeye ni 'mroman'.
******
Siku nazo hazigandi, Jumatatu ya ahadi ikafika. Hamida alinipigia simu nikiwa afisini kwangu, nikamuelekeza, akaletwa na teksi.
"Boss, kuna mgeni wako, dada mmoja hivi wa kiarabu anasema anaitwa Hamida. Amesema nikisema hivyo tu utamtambua, je nimruhusu?" Betty katibu mukhtasi wangu mpya aliniambia baada ya kuingia afisini. Alikuwa ni mama mtu mzima sana wa kutarajia kutaafu miaka kumi tu ijayo, alikuwa ana wastani wa miaka 45 hivi.
"Mruhusu aingie" nilisema huku nikitabasamu.
Hamida akaingia afisini na afisi yote ikabadilika harufu na kuanza kunukia harufu ya uturi wake.
"Karibu Hamida, karibu sana" Nilimkaribisha huku nikisimama na kumfuata na kumkumbatia
Tuligandana kwa muda wa sekunde kadhaa kisha nikamuachia...
"Karibu uketi" Nilimvutia kiti akaketi upande wa pili wa meza yangu, nami nikarudi kwenye kiti changu ninaketi.
"Uturi mwa mwanamke unafaa akiwa nyumbanj kwa mumewe" Nilisema ukweli, lakini kwa kumtania kimahaba
"Siku mojamoja si mbaya, hata hivyo nimejipulizia nilivyotaka kushuka kwenye teksi, hapa si kwa mume wangu..." Alisema halafu wote tukaangua kicheko.
Karibu sana, ndio kwanza nami nimefika kutoka Masjid.
Nikainua simu na kumwita Betty.
"Mama, huyu ni mke wangu mtarajiwa, anaitwa Hamida, Eee Hamida huyu ni mama yetu hapa afisini, ukija wakati wowote atakusaidia" Nilitoa utambulisho pale na mama (Betty) akamkaribisha tena na kwa tabasamu.
"Eee sisi tunatoka kwenda kula, tutarudi muda si mrefu." Nilimwambia Betty ili asihangaike kwa kuandaa chochote kwa ajili ya mgeni. Tulisimama na kutoka nje ya ofisi kisha nje ya jengo na kufuata teksi zilizo jirani.
Hamida alikuwa amevaa gauni la kijani fulani hivimpauko mikono mirefu, mtandio wa kijani pia, alivaa viatu 'flat sandals' nyeusi pamoja na mkoba mweusi. Nami nilikuwa nimevaa 'skuna' (viatu) nyeusi, suruali ya kitambaa yenye mistari mweusi na mweupe kwa mbali, shati jeupe la mistari myembamba iliyoshuka chini, nilichomekea (truck-in my shirt) kama kawaida yangu na juu nimevaa kofia ya mkono mpya niliyonunua Unguja. Hakika tulikuwa tumependeza kwelikweli. Laiti tunapoenda pangekuwa jirani basi nilitamani tutembee kwa miguu ili nijisikie raha zaidi, lakini uelekeo ulikuwa ni mtaa wa Chagga / Jamhuri, kwenye restaurant iitwayo Chef's Pride.
***
Dereva alikunja kulia kutoka Morogoro rd akafuata mtaa wa Libya kisha mita chache akakunja kushoto kuingia mtaa wa Chagga na kuegesha mita chache mbele, mlangoni kabisa mwa Chef's Pride Restaurant. Nilimlipa dereva ujira wake kisha nikawahi kushuka ili nimfungulie mlango Hamida.
Alinifundisha Sue mahaba ya kufunguliana milango tukiwa UK lakini pia maalim Juma aliniambia utaratibu huu ni kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (rehema na amani zimwendee) ambapo alikuwa akifana hivi kwa mkewe bi Aisha wakati wa kumpandisha kwenye ngamia ama kumshusha. Moyoni nikawa nahisi watu wote waliokiwepo pale nje wanatuangalia sisi, mie macho yangu hayaoni zaidi ya Hamida na mlango kwa kuingia hotelini...
Tuliingia na kuketi upande wa kulia mwishoni kabisa, yeye akitazama ukuta nami nikitazama upande mwingine wa hoteli (tulikiwa tumeangaliana). Muhudumu wa kiume aliyetupokea alifika mara moja na kuchukuwa order yetu.
Tulizungumza huku tukila taratibu, tulzungumza mambo mengi sana, tulitumia kama dakika 45 tukarudi afisini, lakini napo sikukaa nikaaga tukatoka na Hamida kwa teksi hadi nyumbani. (Batavuzi niliiacha afisini). Nyumbani tuliongea hadi karibia magharibi kisha nikampeleke kwa teksi hadi Msasani nami nikarudi nyumbani.
**
Katika kuzungumza naye Hamida ndio alinihadithia kwa kirefu kuanzia tulioachana pale airport Zanzibar.
Kumbe pale Migombani nilikubalika kwa wote, isipokuwa kule Mazizini kuna mzee mmoja alikuwa anataka mimi nisimpose bali mtoto wa ndugu yake ambaye naye ni mwarabu ndio ampose, lakini Hamida ndio aliokoa jahazi baada ya kumkataa huyo naye.
Kumbe pia somo (kungwi) yake Hamida alikuwa anamfundisha mambo mbalimbali kuhusu ndoa na mambo ya ndani kwa kirefu hadi aliporidhika, hata safari ya kuja Dar ilikuwa amalizie kumuelekeza masomo hayo ambayo jana ndiyo 'amehitimu'
Kumbe mchakato wa mchumba wa Oman uliendelea na kulikuwa na malumbano makubwa sana lakini kwa msaada ya mzee Hemed na shangazi wakaweza kuwashinda kwa hoja za dini na rai za kihekima.
Hatimaye posa ya Oman ikarudishwa na Hamida (ama familia kwa upande mwingine) ikawa huru kupokea posa nyingine ndipo mzee Hemed walipoingiza suala langu.
Walikuwa wamefanya kazi kubwa kunichunguza kwa siri na kufanya 'upekuzi' hadi kijijini na kote huko walipata sifa ambazo kwangu zilinipa maksi kwa mzee Hemed na Aunt. Ripoti ya uchunguzi ikafikishwa kwa mzee Burhan. Mzee Burhani hakushangazwa na ripoti nzuri, bali alishangazwa na ujasiri wangu kwa kumposa mwanawe ambaye kwa mujibu wake nimemfahamu kwa muda mfupi. (Angelijuwa!, niliwaza)
Mama Warda na Yasir kumbe ndio walioshinikisha wazazi wangu waonekane ili wajiridhishe kabla ya mambo mengine kuendelea. Hivyo bado posa yangu haijakubaliwa na wazazi wa Hamida ingawaje ilipokelewa rasmi.
****
Hamida alikuwa ameanza siku zake za ada, hivyo hatukufanya chochote siku hiyo. Sote tulifurahi, Hamida alipahamu nyumbani, na namba za simu alikuwa nazo hivyo nilimuomba asikae bila kuwasiliana kwakuwa mimi kumpigia yeye itakuwa vigumu kwa sababu ya mazingira.
Tuliongea kuhusu mahari, ambayo kwa mujibu wa dini ya kiislamu, mahari ni ya binti anayeolewa. Akaniambia nijiandae kumchongea kabati la milango mitatu la nguo, Kitanda na dressing table pamoja na show-case (kabati) ya vyombo, pia alitaka niweze kusoma Surat Yassin kwa moyo, yani niihifadhi. Pia nijiandae kwa nguo za harusi tatu, yani ya kijani wakati wa ndoa, yeupe wakati wa utambulisho ukumbini na moja ya dharura. Hakutaja hela.
Kwa haraka haraka hesabu ilifika kama laki saba hivi. Haikuwa tatizo kwangu kwa kuwa nilikuwa na mkopo wa benki ambapo baadhi ya hela nimeagizia gari ndogo ya kutembelea. Hata hivyo aliniambia pia wazazi wake wanaweza kuongeza mahari kwa kuwa yeye ni binti mdogo, yaani bikra (tulicheka sana wote).
Kumbe pia Hamida alifunguka kila kitu kwa Somo yake, lakini aliniambia nisiwe na hofu kwa kuwa atajuwa atafanyaje siku ya ndoa. Kwa ujumla ilikuwa siku ya furaha sana kwangu kwa 'kuhabarika' na kuwa na nimpendaye japo kwa saa chache nilizokuwa naye.
***
Kuanzia siku hiyo, Hamida akawa ananipigia simu kila siku saa mbili na nusu usiku, tunaongea dk mbili tatu tunaagana. Mdogo wangu Rehema alishangaa sana mimi kumwambia Hamida ni wifi yake, hakuamini masikio yake...
"Ndiyo maana umesilimuuuu!" Alinitania.
Tulifurahi pale na mdogo wangu na kuongea mengi kuhusu masuala ya uhusiano na ndoa.
=
Wiki mbili zilipita tangia tufanye kikao nyumbani kwa mzee Burhani, nilipiga simu kuwajulisha ujio wa wazazi wangu tarehe 2 mwezi wa tisa ambàpo itakuwa siku ya Alhamisi, hivyo jumamosi tarehe 4 tutafika kwao. Ilikuwa kama siku kumi hivi kabla. Simu hiyo alipokea mama Warda na kunishukuru kwa kuwajulisha mapema.
Kwa kutumia vijna wa RTC Singida, wazazi wangu hawakupata shida kufika Singida mjini, hapo nilishawafanyia utaratibu kwenye kampuni fulani iliitwa Central Line Bus Servises, walikuwa na mabasi mapya Scania 82H.
Siku ya Jumatano jioni walipanda basi hilo Singida stendi. Stendi ilikuwa katikati ya mji jirani na Benki ya nyumba wakati huo, ilikuwa ni stendi bora kwa kuwa ilikuwa imesakafiwa kwa zege na mpangilio mzuri.
Saa kumi na mbili asubuhi siku ya alhamis nilifika mtaa wa nyamwezi (baina ya Amani na Msimbazi), jirani na masjid Akqsa (msikiti wa makonde), pale ndipo palikuwa kituo kikubwa cha mabasi ya njia ya kati, nilikuta tayari Central line bus limeshafika na abiria baadhi walianza kushuka.
Mama aliniona kwa urahisi akiwa ndani ya basi (alikuwa dirishani), niliwapokea na kufurahi kuwaona wazazi wangu pamoja na dada yangu mkubwa.
Nikachukuwa teksi na kuelekea nyumbani. Asubuhi ile pale nyumbani palikuwa kama sherehe, palichangamka sana. Lakini ilibidi niwaache niwahi kazini.
Jioni nilivyorudi nilikuta vifurushi vya zawadi kutoka kijijini. Nikikuta karanga zenye maganda (mbichi), karanga zenye maganda (zilizochemshwa na kukaushwa juani), matogo, viazi vitamu vilivyochemshwa kisha kukatwa slesi na kukaushwa, viazi vitamu vilivyo kaushwa baada ya kukatwa slesi vikiwa vibichi, matunda pori na baadhi mizizi ya dawa, nk.
Jioni chakula kilipikwa mapema ili wazazi wapate muda wa kupumzika kwa maana usingizi wa kwenye basi huwa ni wa mang'amng'am.
Baba na mama walilala chumba chao, mdogo wangu na dada nao walilala chumba chao lakini hawa waliongea sana hadi usiku mwingi.
Siku ya Ijumaa mdogo wangu wa Bagamoyo alikuja akiwa na mkewe.
Baada ya Swala ya Ijumaa sikurudi afisini bali nikienda nyumbani moja kwa moja kwa ajili ya chakula na mazungumzo marefu na wazazi na ndugu zangu.
Ndugu zangu walifurahi sana kwa habari njema za mimi kufikiria kuoa...
"Mie nikifikiri unataka kuwa padri" alinitania dada mkubwa, wote tukacheka...
"Wifi mwenyewe mnamjuwa? Alidakia dada mdogo wa mwisho...
"Mweupeeeeee" alisema
"Weupe kama wa Mayasa!?" Alidakia dada mkubwa
Mayasa ni msichana mmoja wa Dar, alikuwa mrembo lakini alizidisha mapambo na kujipodoa hata kutumia madawa makali ya kujichubuwa hadi pale mwanamziki nguli Marijani Rajab akaamua kumuasa kwa kumtungia wimbo...
[emoji443][emoji441][emoji449][emoji448][emoji450] 1978
[Uzuri wa asili A.K.A Mayasa - Marijani Rajab]
"Mayasa mbona wanichana mbavu bibiye,
Sura yako mbona sasa imekuwa hivyo,
Nakuuliza mbona hata kunijibu hutaki?
Umenikasirikia kama mimi ndio nilikutuma,
Sura yako na ulivyokasirika mama eee,
Ndio mimi wazidi kunichana mbavu Mayasa hooo,
Dada yako jana alipita kunieleza,
Lakini mimi hata kidogo sikumuamini,
Kanambia ulizidisha tamaa ya urembo,
Mawazo yako uwe mzuri kuliko ulivyoumbwa,
Mayasa tazama sasa ulivyobadilika aaa,
Urembo umekubadilisha sura yako ooo,
Nasikia ukachanganya madawa ya nywele,
Ukaona bado na mengine madawa ya ngozi,
Mchana kutwa hubanduki kwenye kioo,
Sujui mama ulitaka uwe sawa na Malaika,
Mayasa tizama nywele zilivyoharibika aaa,
Sura yako hapo zamani haikuwa hivyo ooo
(Chorus)
Oooo Mayasa, mama Mayasa gha,
Uzuri ni wa kuzaliwa nao ooo,
Ooo Mayasa, mama Mayasa,
Hapo zamani mama ulikuwa mwenye umbo la kupendeza,
OO Mayasa, mama .....
Ooo Mayasa, dada Mayasa aa
Aliyekuona zamani akikuona sasa atashangaa,
OOO Mayasa, mama .....
Oo Mayasa, mama Mayasa aa,
Tizama sasa mama uzuri wako wa asili wakupotea,
Oo Mayasa, mama Mayasa aa,
Nakuambia mamaa aliyekuumba si mjinga,
OO Mayasa, mama .....
***
Kwahiyo, 'mikorogo' ilianza zamani.
=
"Hapana, siyo uzuri wa 'Mayasa' yeye ni mweupee kama mzungu" alirudia tena mdogo wangu Rehema.
"Ni mwarabu, kama waarabu wa Nduguti" Nilisema.
Nduguti ni kijiji cha njiani ukitokea Singida kama unaenda Chemchem, unapita Iguguno halafu Nduguti kisha Gumanga ndio unaingia Mkalama halafu Ibaga kisha Chemchem. Hivyo waarabu wa Nduguti wanawafahamu kwa kuwa waliweka makazi hapo miaka mingi sana.
"Kawazidi wa Nduguti, üyù mwélü péèê!" Alisema Rehema kwa Kinyiramba akimaanisha huyu ni mweupe sana!
Tukacheka sana.
Ilikiwa ni kawaida kwa sisi kuchanganya lugha zaidi ya moja wakati wa kuongea ili mradi wepesi uje kwa kuwa hatukulelewa katika mazingira ya kitaturu 'pure'. Kisukuma, Kitaturu, Kinyiramba vyote tulikuwa tunachanganya inapobidi japo marehemu babu mzee Bourne alijitahidi kutufundisha Kitaturu lakini hatukukizoea kuongea mara kwa mara isipokuwa baba na mama, hususani wanapogombana ama kuhitilafiana wanaongea misamiati ambayo hata hatuielewi.
=
Ikawa furaha sana hapo, lakini nikawaambia bado sijakubaliwa, hivyo tuweke akiba ya furaha...
"Kesho saa tano ndio tutaonekana kwao, kisha watatupa jibu baada ya wao kujadiliana" Niliwakumbusha.
***
Mzee Katibu Kata, nilikuwa nampa ‘update’ ya kila hatua na nilimuomba siku ya Jumamosi ya tarehe 4 ashiriki kikao kwa mzee Burahan.
Jumamosi ikafika, mke wa mdogo wangu wa Bagamoyo tulimwacha 'alinde nyumba' nasi watu sita tukachukuwa teksi mbili zikatupeleka hadi Butiama Reataurant.
Nikairuhusu teksi moja iende, mie na teksi iliyobaki nikamfuata mzee Katibu Kata kwake Ali Maua - Mwananyamala, wazee wangu pamoja na ndugu zangu walikunywa chai ya kudanganyishia wakati wakinisubiri.
Baada ya muda mchache nikirudi na mzee Katibu Kata, nikawachukulia teksi nyingine wazazi na dada mkubwa, mimi na wadago zangu tukatumia teksi niliyokuja nayo.
***************************************
Itaendelea...View attachment 1356439View attachment 1356440View attachment 1356441View attachment 1356442View attachment 1356445
James Jason
Mkuu kumbe wazazi walikuja na Michembe