Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"


Mkuu kumbe wazazi walikuja na Michembe
 
Hii simulizi ni fayaa...
Basi me nilikuwa najua skuna , walikuwa wanavaa wanawake tu, ahsante mzee...unatupanua ufahamu wa mambo mengi yaliyopita.
 
Unajua kuitendea haki. Hadi raha.
 
Hii simulizi ni fayaa...
Basi me nilikuwa najua skuna , walikuwa wanavaa wanawake tu, ahsante mzee...unatupanua ufahamu wa mambo mengi yaliyopita.
Kulikuwa na skuna na mocasin (moka)

Moka ndio nyingi zilikiwa za kiume, Skuna nyingi zilikuwa za kike, japo zilikuwepo na za kiume ambapo ndio nilipigilia siku hiyo.

James Jason
 
Hapo kwenye dawa za mitishamba walizokuja nazo wazee nimepashtukia hehee! Tunakufuatilia kwa karibu mzee, endelea kutufunza!
Mitishamba muhimu babu, nafikiri mizizi niliyokula utotoni athari yake ilionekana kuanzia kidato cha tano 1974. Nilisumbua sana.

Hadi leo hii makali yapo japo panga lilelile za zamani. (Chapa mamba if you know!)

Pia mila mila kama tutakavyoona kwenye stori mbele.
___

Endeleeni kunionesha kuwa mnasoma. Kuuliza ruhsa.

James Jason
 
Mzee kwa kweli unajua kudadavua habar mpaka asiyejua anajua hongera sana sana na nmekuwa mfuasi mkubwa wa simulizi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wangu umefaidi vingi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee asante kwa muendelezo matata na uandishi mzuri. Nina swali;

Siku ya Jumatano jioni walipanda basi hilo Singida stendi"

Hizi basi zilikuwa zinatembea usiku?maana umesema alhamis saa 12 asubuhi walikuwa wameshafika.

Na zilikuwa zinatumia usiku mmoja tu?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo, basi zilikuwa zinatembezwa usiku, hususani za safari ndefu.

Mara nyingi safari zilianza mida ambayo kama basi halitapata hitilafu ama changamoto njiani basi asubuhi zinawasili sehemu tarajiwa.

Kwa Singida yalikuwa yanatoka majira ya kuanzia saa kumi jioni.

Kutoka Singida chakula Manyoni, Kutoka Dar chakula Mlandizi.

(Vumbi hadi Dodoma kisha ndio lami hadi Dar)

James Jason
 
Asante kwa ufafanuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani redio yetu.....nilivunjanga mlango wa casset, kipigo nilichokipoea kutoka kwa mama kilikuwa kipigo cha haja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…