Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

babu...kiukweli hapa nimepata somo kuwa elimu ya kweli ilikuwa inapatikana enzi zenu...inawezekana kabisa ukawa hujasomea uandishi...lakini jinsi ulivyoipangilia hii hadithi...hongera sana mzee wangu...vijana wako tunazidi kusoma na kuongeza maarifa...usichoke kuzungumza na sisi kwa njia ya maandishi...kisa chako kimenikumbusha fundi viatu mmoja aliefungwa kisa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na binti wa kiarabu...
 

bora nimeisoma usiku.....
 

bora nimeisoma usiku.....
 
Asante sana mzee wetu kama hii " the perfumed garden"imenifundisha mambo mengi sana,nilikua nazani najua sana kumbe kuna mengi ya kujifunza
 
Siku moja uje utupe elimu hii nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…