Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Mimi naenda mdogo mdogo na hii stpry ya ndugu yangu JBourne59, nimeipenda hii episode 15, nimevifurahia vyakula vyetu vya nyumbani, ndalu, kuruga ne nsansa
 
Hatimae nimefika mwisho, hongera sana JBourne59 kwa uandishi uliotukuka, nimejifunza mengi lakini pia nimefurahia kuyapata mambo ya kwetu singida. Pole sana kwa kumpoteza Ruth na hongera kwa kijana wako wa kwanza Jason Jr
 
Hatimae nimefika mwisho, hongera sana JBourne59 kwa uandishi uliotukuka, nimejifunza mengi lakini pia nimefurahia kuyapata mambo ya kwetu singida. Pole sana kwa kumpoteza Ruth na hongera kwa kijana wako wa kwanza Jason Jr
Ahsante sana.

James Jason
 
Mimi naenda mdogo mdogo na hii stpry ya ndugu yangu JBourne59, nimeipenda hii episode 15, nimevifurahia vyakula vyetu vya nyumbani, ndalu, kuruga ne nsansa
Hakika vyakula vya asili ni vitamu sana, tena vina faida sana mwilini.

James Jason
 
Reactions: ram
Uko sahihi kabisa mkuu vijana wengi tumekuwa wavivu kujifunza badala yake kujiona tunajua mambo mengi kuliko wazee wetu.

Nashukuru sana kwa simulizi yako nzuri na uandishi mzuri hata sisi vijana wa 90 tumepata picha ya yaliyotokea miaka hiyo kwa ufasaha zaidi kuliko hata tulivyosoma kwenye historia.

Naomba uendelee kutupa elimu vijana wako ikiwezekana hata jukwaa la kihistoria kwenye mambo mengine ya kijamii na kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu kwa simulizi nzuri ya maisha yako pamoja na uandishi mzuri japokuwa nimechelewa sana kuiona lakini ilinichukua siku mbili kuweza kusoma vipande vyote.

Hakika nimejifunza mambo mengi ukiachilia mambo ya mapenzi lakini pia kwenye maisha kwa ujumla hata utumishi wako uliotukuka.

Kwa vijana ambao tumeingia kwenye ndoa kipindi hiki tunajifunza mambo mengi kutoka kwenu wazee wetu.

Tunaomba uendelee kutufundisha mengi mzee wetu...

Hongera na shukurani sana mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa muda wako,nimejifunza mengi.Kwa ufupi you are blessed kwenye uandishi na kila kitu...Mwenyezi mungu ndiye mpanga wa yote.
 
nimeangalia jicho letu mkoani star tv walikua wanaangalia kabila la wataturu...kuna vitu baadhi nimeviona ambavyo mzee wetu alivielezea humu....hongera sana mzee kwa kumbunkumbu nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ukute msimuliaji ni mjukuu tu na mkasà mzima unamuhusu babu yake, yeye anasimulia tu na kupambapamba
 
Inaelimisha
Inaburudisha
Haichoshi
Full raha
Hongera mkuu🙏🙏🙏
 
Shukrani za dhati zikuendee kwako na familia yako Mungu akubariki sana kwa muda wako,nimejifunza mengi sana na nimesambaza link kwa kadiri ya uwezo wangu ili wengine wanufaike.
Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…