Heshima kwako mkuu, mzee mwenzangu. Hili somo na lipewe heshima yake. Vijana wa sasa wape kuvimbisha misuli na wasijui inakazi gani kwenye 6*6. Halafu kuna baadhi wanazo kebehi aisee!1. "The Peedumed Garden" - Umar ibn Muhammad Nefzawi - 15th Century
2. "French Sex Art Manners" - Georges Valensin - 1970
3. "Kama Sutra' - Vatsyayan Richard Francis Burton
James Jason
James Jason
At the end of the day, watu wengi tumefanana mambo. Upande mmoja, Story ya "Jamal na Hamida", hiyo ni ya wazazi wangu. Sisi ni matunda ya huo msoto wa mshua na mama yetu. Sisi ni Vizazi vyao vya baada ya uhuru.
Kitambo sana nilikuwa sipo JF. Kongole kwa kuturejeshea kumbukumbu.
Sisi hatujabahatika kurudi nyumbani mapema kama wewe. Lakini hivi tupo, mguu mmoja huku, mungine kule.