Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Yes, ila bado anatumika fresh, mdogo mdogo.

James Jason
Nimecheka sana hapa, ni miaka imepita tangu uandike hii comment. Sasa ngoja ni comment kidogo tu
Ila asante kwa story nzuri sana, upo makini na uandishi na vionjo mbali mbali nilitamani nijue umetia wapi sukari ili nijue hapa kamba[emoji1787][emoji1787]
56 bado mnapelekeana moto safi sana, inaonyesha mnanguvu na hamna magonjwa ya uzeeni.
Kauli mbiu yetu ni ile ile ya mabaharia "PELEKEA MOTO"
 
Sehemu za 'kamba' zipo nyingi tu kwa lengo la kuficha wazee wenzangu wasiunganishe nukta na baadhi ya sehemu kwa ajili ya 'kuipaka rangi' simulizi.

Wajulishe na wengine wasome wajifunze na kuburudika.

Ni histosria ya kweli, niliandika kwa masharti ya kuficha "codes" kama inavyosomeka kwenye utangulizi.

Sent from my Infinix X690B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu leta mautamu kama haya tumeyamisi haswa
 
Nimekumbuka Enzi Nakua Vyombo vya Nyumbani
Messtin hizi Zilikua na rangi kama magari ya Jeshi la Wananchi kama Kijani ile na Zingine zilikua colourless
Vijiko na umma vyenye nembo ya TG
Vitanda vya Kunesanesa kila mtu alikua na chake kasoro mzee wetu tu. Na Tulikua navyo vingi mpaka Vingine viliwekwa stoo

Old is gold.
 
Vyombo vya TG vilikuwa imara sana (TG = Tanzania Government), hata uviburuze vipi vipo tu! Ile ndio ilikuwa ubora wa daraja la juu kabisa.

Vitanda vulikuwa banco, vya springi futi 2 kwa sita

Old is Gold.

Sent from my Infinix X690B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…