Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

Simulilizi mpya

 
Iguguno pale ndio home aisee maeneo mengi uliotaja nayafahamu hiyo parokia ya chemchem ni siku nyingi sana tunaiskia tangu tukiwa wadogo big up kwa story nzuri.
Hivi Kipemba bado yupo Iguguno? Somebody Mussa Kipemba.
 
He! Kumbe nikajua ushaandika iko sehemu una copy and paste.
Sijaiandika, ningekuwa nayo ningeiweka yote, sipendaGi wasomaji wasubirie sana

Hata hii watu walinifuata na kuniambia tuletee tu tutavumilia kusubiri, eti wamemisi maandiko yangu...

Ndio nikaona ngoja nilete stori ya 'mchongo'

Watakaotaka kuunganisha dots vichwa vitawauma hahahhaaa

Simulizi ya kubuni.
 
Tupio la 9 lipo tayari, sasa sijui niweke au nisubirie hadi Ijumaa niweke matupio matatu yote
 
Myself napendelea sana story zinazoenda kwa nafsi ya kwanza "mimi" hata kama ni ya kutunga huwa flow inanivutia sana
 
Hivi Kipemba bado yupo Iguguno? Somebody Mussa Kipemba.
Aisee Musa Kipemba ni watoto wa Mbali Kitoko walihama wakahamishia biashara singida Mjini dah ila kaka kweli unaijua iguguno aisee kwa kunitajia huyo jamaa.
 
👉@JBourne59 Thanks for Sharing this Big Bro. Nasema kuna vingi nimepata asee ila kimoja kikubwa zaidi ni hiyo screening ya waarabu waliyokufanyia ili tu kujiridhisha kuwa unafaa kumuoa binti yao ama ndugu yao Aisee ni zaidi ya Interview Ya TRA ama BOT 😂.

👉Napenda niseme kwamba pamoja na ubaguzi wa wenzetu katika maswala haya ila kwa namna fulani ulileta Revolution kubwa sana kifikra kuwa hayo mambo ya Ubaguzi hayana nafasi katika maisha binadamu wote sisi ni sawa japo siyo sawa sawa

👉Ningrpenda kujua vipi ndugu wa Mama yetu Hamida (Uarabuni) vipi bado wanaendelea kuwapa Ushirikiano mpaka sasa?

👉Nimejifunza mengi Upande wa Dini the way ulivyo kuwa una make progresses katika kujifunza Dini ni Exceptional kwa kweli. Yaani hata kama mtu kama angekua hajui Uislam ukoje kwa kupitia tu hii thread yako inatosha kabisa apate picha ya Dini ikoje na n.k ni somo tosha kabisa (Umewaacha mbali hata wale ambao ni Muslims by birth kwa kuijua dini na kuizingatia maelekezo yake) kwa hili nakupa hongera sana Mkuu.

👉Vipi una utaratibu wa kusoma vitabu? Ni vitabu gani hasa huwa unapendelea kusoma? (nje na vile vya love affairs)
👉Ni Ushauri gani Unaweza mpatia kijana wa enzi (wa kimaisha) kwa Uzoefu wako kwa lengo la kumsaidia aweze kuishi maisha bora Kiuchumi na yenye kumpendeza Muumba. (japo najua swali hili liko wide sana)

👉Mwisho nakutakia Afya njema wewe na Family yako nzima mkuu. Endelea kutupa baraka zako Legendary.
 
Back
Top Bottom