Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Waafuatao ni baadhi ya wadau waliouona uzi huo, wanaweza kuleta ushuhuda hapa kama nilichoandika kilikuwa kina ukiukaji wa kanuni, taratibu ama sheria yoyote ya JF ama ya 'cyber'
cute eyes
msondomba
MLEVi Mmoja
Mr Devil
konda msafi
Griseofulvin
Na wengine wote mliosoma mmeshuhudia.
(Hakika nimevunjika moyo sana)View attachment 1370788View attachment 1370790
James Jason
Daah kumbe ndo maana juzi nautafuta niusome vizuri sikuuona aah