Uhusiano wetu na nchi za kiarabu una tija? Una uhusiano na gani watawala wa regime hii?

Uhusiano wetu na nchi za kiarabu una tija? Una uhusiano na gani watawala wa regime hii?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Hizi habari zimeanza kusikika Sana,hizi safari za masharikk ya mbali zimeibuka Sana,Ni ipi tija?Wakina Benjamini na John waliziona hizi fursa ambazo wenzetu wanaziona leo?

#HABARI Waziri wa Nishati January Makamba, amewasili nchini Saudi Arabia kwa mwaliko wa Waziri wa Nishati wa Saudi Arabia Abdulaziz bin Salman Al Saud. Akiwa nchini humo Waziri Makamba anatarajiwa kushiriki hafla ya uzinduzi wa “Saudi Green Initiative”.
 
Back
Top Bottom