Uhusiano

Uhusiano

SANGAI2012

Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
5
Reaction score
0
Kwa nini mwanaume anakuwa dhaifu pale mwanamke anapomwambia nakupenda
 
Kwa nini mwanaume anakuwa dhaifu pale mwanamke anapomwambia nakupenda

Wakati wengine wanasema wanaume hawana hisia kali za mapenzi kama wanawake ambao mpaka huapagawa na kujiimbia mwenyewe mara wanapopenda kweli, wewe unasema wanaume wanakuwa wadhaifu???
Au sema tu wewe ndo huwa dhaifu ukiambiwa hivyo ili tukuweke sawa
:becky::becky:
 
Kwa nini mwanaume huwa hasemi ahsante mbele ya mpenzi wake ila inakuwa in return
 
Back
Top Bottom