Uimara na Kasoro Kubwa za Klabu ya Simba

F-Merylin

Senior Member
Joined
Dec 26, 2016
Posts
128
Reaction score
177
Timu ya Simba (Simba SC Ltd) ina uimara na kasoro kadhaa. Mazuri yaimarishwe na yaongezwe, na mabaya yarekebishwe.

Timu ya Simba ina Uimara katika maeneo makubwa sita:
  • Fun base kubwa – idadi kubwa ya wapenzi, wanachama na mashabiki ndani na nje ya nchi.
  • Wapenzi walio tayari zaidi kusupport timu yao kwenye social media na kwa kuingia uwanjani na kuichangia. Wamekuwa ‘gumzo’ Africa katika kujaza uwanja na kuishangilia timu yao.
  • Historia kubwa ya kufanya vizuri nchini na mechi za kimataifa ukilinganisha na timu nyingine (timu yenye trophies nyingi zaidi)
  • Mwekezaji wa Sasa (Mo Dewji) amedhamiria kuipeleka Simba mbali. Ana mapenzi na timu.
  • Kwa miaka mitano Simba imekuwa na uongozi unaojaribu kufanya mambo katika standards za kimataifa (management structure, ajira, mawasiliano, nafasi za kazi, na mikataba ya kibiashara)
  • Simba imejitahidi mpaka mwaka jana kuwa na usajili mzuri, technical staff nzuri na kucheza soka zuri na kuwalipa wachezaji vizuri.
Pamoja na hayo yote Simba ina kasoro kubwa tano kwa sasa:
  • Mchakato wa mabadiliko usioisha, usio transparent na usiohojiwa. Mpaka sasa Investor ndiye mwekezaji pekee na wanachama wanaopaswa kuwa na 51% za hisa hawajauziwa hisa. Ndio maana investor analalamika kuwa hapati faida kwa vile mzigo wote kaubeba yeye lakini pia ni tool ya kumsaidia kufanya anavyotaka kuhusu mapato kwa muda mrefu zaidi.
  • Management structure isiyoeleweka vema inayofanya majority shareholders (Simba Club) wawe chini ya uongozi wa minority share holder (investor na kampuni zake) kwa vile mchakato hauijaisha na kwa sababu pia katiba imekaa katika namna ya kumpendelea investor. Hii inafanya maamuzi mengi ya mwisho yafanywe na investor e.g.planning, budgeting, staffing na uteuzi wa board members!
  • Nyufa za utengano – Kwenye board kuna watu wanaona wazi kasoro hizo hapo juu na kujaribu kuzihoji au kupinga watu wachache kuhodhi maamuzi yote na kuongoza kibabe. Na kuna wale walio loyal kwa investor. Watu hawa wameanza kupingana. Ni suala la muda tu mgogoro mkubwa utatokea kama mchakato wa kifanya Simba kampuni utaendelea kuchelewa na itakapotokea Simba wakaendelea kufanya vibaya kwenye mashindano mbalimbali.
  • CEO wa sasa wa Simba Barbra pamoja na uzuri wake wote, ni sehemu ya watu wanaoongoza kibabe na kuwaburuza Simba club members au wanaompinga kama anavyotaka. Migogoro ya Simba na Senzo, Haji Manara, na baadhi ya board members inamhusisha CEO. Kuwa ni mtu asiyewaamini watu na kuhodhi mamlaka yote hata yale anayopaswa kudelegate kama usajili.
  • Benchi la Ufundi – Makocha wanafukuzwa mara nyingi kwa sababu ya uhusiano wao na wachezaji mbali na kutofikia malengo. Lakini kocha msaidizi (Matola) amekuwepo muda mrefu na yeye hafukuzwi. Ni kocha mzuri ndio kuna ishara za kuwa karibu sana na wachezaji na anaweza kuwa sababu ya makocha kutofanikiwa kama wametofautiana naye kwa kupitia wachezaji (mgomo baridi). Lakini tunaona baadhi ya wachezaji viwango vyao viko chini sana lakini yuko karibu noo sana na wanacheza kila siku. Mfano nani asiyejua Mugalu na Kagere viwango vyao vimefika mwisho? Wapenzi wanalalamika kila siku wakitaka wachezaji hawa na wengine kama Lwanga, Mkude, Nyoni waondoke lakini nani anayewakingia kifua?
 
fun base = FAN BASE
 
Hpo kwenye Mgogoro mkubwa [emoji116][emoji116]
20220627_022419.jpg
 
Mabadiliko yasiyo wazi hili ni uongo.....
Watu wamezurura sana maredioni mpaka na katiba labda hukutaka kuskiliza.
Management structure isiyoeleweka?

Si kweli nadhani simba ndio wanauongozi uliowazi zaidi....kuanzia CEO mpaka wahasibu wote wanafahamika na majukumu yao yapo wazi.
Mfano mwepesi naomba structure ya uongozi wa yanga na majukumu yao......

Uliposema alikuwa na mgogoro na Senzo, imeonyesha kuwa ulikuwa unachuki naye tu.....
Nikumbushe tukio kama hili lilitokea lini?
 
Yanga tumeingiaje tena kwenye kikao chenu cha ukoo? jadilini mambo yenu
 
Kabla ya kuanzisha mada ni vema ungeomba ushauri, simba walikuwa wanamiliki klabu kwa Asilimia 100 baadae wakauza Asilimia 49. Wanawezaje kununua hisa wanazomiliki.
Tatizo kubwa wakati simba wanabadili mfumo hawakutoa elimu ya kutosha kwa wanachama mwao matokeo yake hata viongozi wanaochaguliwa hawajui wajibu wao
 
Timu ya Simba (Simba SC Ltd) ina uimara na kasoro kadhaa. Mazuri yaimarishwe na yaongezwe, na mabaya yarekebishwe.

Timu ya Simba ina Uimara katika maeneo makubwa sita:
  • Fun base kubwa – idadi kubwa ya wapenzi, wanachama na mashabiki ndani na nje ya nchi.
  • Wapenzi walio tayari zaidi kusupport timu yao kwenye social media na kwa kuingia uwanjani na kuichangia. Wamekuwa ‘gumzo’ Africa katika kujaza uwanja na kuishangilia timu yao.
  • Historia kubwa ya kufanya vizuri nchini na mechi za kimataifa ukilinganisha na timu nyingine (timu yenye trophies nyingi zaidi)
  • Mwekezaji wa Sasa (Mo Dewji) amedhamiria kuipeleka Simba mbali. Ana mapenzi na timu.
  • Kwa miaka mitano Simba imekuwa na uongozi unaojaribu kufanya mambo katika standards za kimataifa (management structure, ajira, mawasiliano, nafasi za kazi, na mikataba ya kibiashara)
  • Simba imejitahidi mpaka mwaka jana kuwa na usajili mzuri, technical staff nzuri na kucheza soka zuri na kuwalipa wachezaji vizuri.
Pamoja na hayo yote Simba ina kasoro kubwa tano kwa sasa:
  • Mchakato wa mabadiliko usioisha, usio transparent na usiohojiwa. Mpaka sasa Investor ndiye mwekezaji pekee na wanachama wanaopaswa kuwa na 51% za hisa hawajauziwa hisa. Ndio maana investor analalamika kuwa hapati faida kwa vile mzigo wote kaubeba yeye lakini pia ni tool ya kumsaidia kufanya anavyotaka kuhusu mapato kwa muda mrefu zaidi.
  • Management structure isiyoeleweka vema inayofanya majority shareholders (Simba Club) wawe chini ya uongozi wa minority share holder (investor na kampuni zake) kwa vile mchakato hauijaisha na kwa sababu pia katiba imekaa katika namna ya kumpendelea investor. Hii inafanya maamuzi mengi ya mwisho yafanywe na investor e.g.planning, budgeting, staffing na uteuzi wa board members!
  • Nyufa za utengano – Kwenye board kuna watu wanaona wazi kasoro hizo hapo juu na kujaribu kuzihoji au kupinga watu wachache kuhodhi maamuzi yote na kuongoza kibabe. Na kuna wale walio loyal kwa investor. Watu hawa wameanza kupingana. Ni suala la muda tu mgogoro mkubwa utatokea kama mchakato wa kifanya Simba kampuni utaendelea kuchelewa na itakapotokea Simba wakaendelea kufanya vibaya kwenye mashindano mbalimbali.
  • CEO wa sasa wa Simba Barbra pamoja na uzuri wake wote, ni sehemu ya watu wanaoongoza kibabe na kuwaburuza Simba club members au wanaompinga kama anavyotaka. Migogoro ya Simba na Senzo, Haji Manara, na baadhi ya board members inamhusisha CEO. Kuwa ni mtu asiyewaamini watu na kuhodhi mamlaka yote hata yale anayopaswa kudelegate kama usajili.
  • Benchi la Ufundi – Makocha wanafukuzwa mara nyingi kwa sababu ya uhusiano wao na wachezaji mbali na kutofikia malengo. Lakini kocha msaidizi (Matola) amekuwepo muda mrefu na yeye hafukuzwi. Ni kocha mzuri ndio kuna ishara za kuwa karibu sana na wachezaji na anaweza kuwa sababu ya makocha kutofanikiwa kama wametofautiana naye kwa kupitia wachezaji (mgomo baridi). Lakini tunaona baadhi ya wachezaji viwango vyao viko chini sana lakini yuko karibu noo sana na wanacheza kila siku. Mfano nani asiyejua Mugalu na Kagere viwango vyao vimefika mwisho? Wapenzi wanalalamika kila siku wakitaka wachezaji hawa na wengine kama Lwanga, Mkude, Nyoni waondoke lakini nani anayewakingia kifua?
Simba hatuna kamati muhimu sana,kamati ya roho mbaya
 
Naomba Katiba ya Simba. Nina shida nayo
 
Back
Top Bottom