Bepari kuu
New Member
- Sep 8, 2020
- 3
- 5
Wajameni naombeni kujua uimara wa zile glass roof za kwenye gari kwa mtu ambaye ashawahi kutumia, nimeagiza ka-Dualis kangu ka 2009 moja ya specifications zake kana glass roof Sasa nimekaa nafikiria kwa nchi yetu hii kana uimara gani?
Isije ikatoboka nikawa nanyeshewa na mvua, nimeshalipia kiasi kanafanyiwa inspection huko japani nasubiri bill of lading kaanze safari, Sasa nawaza hapa nibadilishe gia angani au nikaache kaje tu hivohivo labda hakuna shida, mwenye uzoefu na gari zenye glass roof plz anisaidie kama ni hasara ya inspection niamue tu. Natanguliza shukrani