Uimara wa glass roof ya gari

Uimara wa glass roof ya gari

Bepari kuu

New Member
Joined
Sep 8, 2020
Posts
3
Reaction score
5
Wajameni naombeni kujua uimara wa zile glass roof za kwenye gari kwa mtu ambaye ashawahi kutumia, nimeagiza ka-Dualis kangu ka 2009 moja ya specifications zake kana glass roof Sasa nimekaa nafikiria kwa nchi yetu hii kana uimara gani?

Isije ikatoboka nikawa nanyeshewa na mvua, nimeshalipia kiasi kanafanyiwa inspection huko japani nasubiri bill of lading kaanze safari, Sasa nawaza hapa nibadilishe gia angani au nikaache kaje tu hivohivo labda hakuna shida, mwenye uzoefu na gari zenye glass roof plz anisaidie kama ni hasara ya inspection niamue tu. Natanguliza shukrani
 
Dualis zinakuja mpiku IST aisee.

BTW, iyo Glass Roof ni ngumu na imara sana. Usiwe na wasiwasi. Chini yake pia kuna plastic maana ile glass roof sio kwamba ni sunroof direct.
 
Dualis zinakuja mpiku IST aisee.

BTW, iyo Glass Roof ni ngumu na imara sana. Usiwe na wasiwasi. Chini yake pia kuna plastic maana ile glass roof sio kwamba ni sunroof direct.
Asante kwa kunitia moyo boss, Ila haziwezi kumpiku IST maana Mil 17 si mchezo, haihongeki kirahisi tutamiliki wanaume kwanza.
 
Back
Top Bottom