Uingereza: Boris Johnson ashinda jaribio la kumuondoa madarakani

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173

Boris Johnson wins a confidence vote by Tory MPs 211 to 148. It means he will stay in his job as prime minister.
The result was announced by chairman of the 1922 Committee Sir Graham Brady

-----
After febrile speculation about the number of Conservative MPs who would vote against Johnson, the final figure who rebelled against him was higher than many expected.

A staggering 148 of his own lawmakers decided they had no confidence in Johnson's leadership, against 211 who support him.

Boris.jpg

That means 58.6% of Conservative MPs backed him -- a worse result than former Prime Minister Theresa May, who had the support of 63% of her lawmakers (200, in a much smaller parliamentary party) when she faced a confidence vote in 2018.

May survived just six months further in the job, before ultimately being forced to resign.

Source: Live updates: Boris Johnson confidence vote
---
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameshinda matokeo ya kura ya kutokuwa na imani naye baada ya kupata kura 211 dhidi ya kura 148 ambazo hazikuwa na imani naye.

Hali hiyo imekuja baada ya wabunge wa chama chake cha Conservative kupiga kura usiku huu juu ya kutokuwa na imani naye.
 
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameshinda matokeo ya kura ya kutokuwa na imani naye baada ya kupata kura 211 dhidi ya kura 148 ambazo hazikuwa na imani naye

Hali hiyo imekuja baada ya wabunge wa chama chake cha Conservative kupiga kura usiku huu juu ya kutokuwa na imani naye
 
Boris Johnson wins a confidence vote by Tory MPs 211 to 148.
It means he will stay in his job as prime minister.
The result was announced by chairman of the 1922 Committee Sir Graham Brady

-----
After febrile speculation about the number of Conservative MPs who would vote against Johnson, the final figure who rebelled against him was higher than many expected.

A staggering 148 of his own lawmakers decided they had no confidence in Johnson's leadership, against 211 who support him.

View attachment 2252708

That means 58.6% of Conservative MPs backed him -- a worse result than former Prime Minister Theresa May, who had the support of 63% of her lawmakers (200, in a much smaller parliamentary party) when she faced a confidence vote in 2018.

May survived just six months further in the job, before ultimately being forced to resign.

Source: Live updates: Boris Johnson confidence vote
Kama ana akili vizuri akatoe sadaka ya shukrani!!
 
Kwa mujibu wa sheria yao, akishinda kura ya kutokuwa na imani naye, haiwezekani tena kumpigia kura ya namna hiyo mpaka mwaka mzima upite!! Atawakanyaga wapinzani wake vilivyo.
 
Theresa May alishinda vote of no confidence January 19 lakini miezi minne baadae aka resign.

Tony Blair walim Pressure mpaka aka resign.
Cameron naye ni hivyo hivyo.

Boris is down the hill from here!
 
Awakanyage halafu kura za kupitisha mambo yake azipate wapi?
 
Kwa mujibu wa sheria yao, akishinda kura ya kutokuwa na imani naye, haiwezekani tena kumpigia kura ya namna hiyo mpaka mwaka mzima upite!! Atawakanyaga wapinzani wake vilivyo.
Huko uanadhani atawakanyagaje? Sheria ya matumizi mabaya ya madaraka/ofisi ni kali mnoo
 
Theresa May alishinda vote of no confidence January 19 lakini miezi minne baadae aka resign.

Tony Blair walim Pressure mpaka aka resign.
Cameron naye ni hivyo hivyo.

Boris is down the hill from here!
Uko sahihi!

Hiyo ni njia ya mwanzo ya kumuondoa! Mengineyo hufuata!
Alijaribu kujificha nyuma ya pazia Ku tackle immigration wakimbizi watapelekwa Rwanda, then hili la vita. Akaenda Ukraine kutoa support, hiyo yote akiamini waingereza watasahau, jamaa walimuweka kiporo, wamalize sherehe za malkia.

Huko ndiyo kwenye demokrasia, jamaa haogopwi wala nini! Siyo Bongolala mwenyekiti anatetemekewa!
 
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameshinda matokeo ya kura ya kutokuwa na imani naye baada ya kupata kura 211 dhidi ya kura 148 ambazo hazikuwa na imani naye

Hali hiyo imekuja baada ya wabunge wa chama chake cha Conservative kupiga kura usiku huu juu ya kutokuwa na imani naye
Huyu mwamba aendelee, maana anasupply masiraha uko Ukrein Hadi Putin ananuna
 
Uko sahihi!

Hiyo ni njia ya mwanzo ya kumuondoa! Mengineyo hufuata!
Alijaribu kujificha nyuma ya pazia Ku tackle immigration wakimbizi watapelekwa Rwanda, then hili la vita. Akaenda Ukraine kutoa support, hiyo yote akiamini waingereza watasahau, jamaa walimuweka kiporo, wamalize sherehe za malkia.

Huko ndiyo kwenye demokrasia, jamaa haogopwi wala nini! Siyo Bongolala mwenyekiti anatetemekewa!
Uko sasa hivi imekuwa ni kuviziana:
- Tony Blair aliondolewa na Gordon Brown kwa ku resign.
- Gordon Brown akaondolewa na David Cameron baada ya kipindi kifupi kupitia sanduku la kura.
  • Cameron akaondolewa na Boris kwa ku resign.
  • Theresa May akaondolewa na Boris kwa ku resign.

Kumbuka Cameron alikuwa ni rafiki na Boris kabla ya kumgeuka na kumfanyia vugu vugu mpaka aka resign.
Cameron na Theresa wana supporters(MPs) ambao bado wanauchungu na Boris. Kilichomsaidia Boris kukaa huu muda mrefu ni Covid, sasa mambo yanarudi kama kawaida wanaanza nae tena.
 
Back
Top Bottom