Uingereza: Boris Johnson ashinda jaribio la kumuondoa madarakani

Uingereza: Boris Johnson ashinda jaribio la kumuondoa madarakani

Vote of no confidence - 15th January 2019.
Resignation - 7th June 2019.

Hiyo si miezi 4 na siku kadhaa?
Vote of confidence - 15th January, 2019
Resignation - 24th July, 2019
Interval - 6 Months 9 Days
Screenshot_20220607-101847_Chrome.jpg
 
Vote of confidence - 15th January, 2019
Resignation - 24th July, 2019
Interval - 6 Months 9 DaysView attachment 2253008
Okay.
Ali resign as Tory Leader on 7th June 2019 lakini akaendelea kuwa Prime minister mpaka Boris alipochaguliwa kama Tory leader 22 July 2019 ndio aka resign kama PM on 24th July 2019.

UK lazima uwe party leader ndio uwe PM!
 
Uko sahihi!

Hiyo ni njia ya mwanzo ya kumuondoa! Mengineyo hufuata!
Alijaribu kujificha nyuma ya pazia Ku tackle immigration wakimbizi watapelekwa Rwanda, then hili la vita. Akaenda Ukraine kutoa support, hiyo yote akiamini waingereza watasahau, jamaa walimuweka kiporo, wamalize sherehe za malkia.

Huko ndiyo kwenye demokrasia, jamaa haogopwi wala nini! Siyo Bongolala mwenyekiti anatetemekewa!
Vumbi lilitulia, kuna picha mpya ndio zilileta nongwa.
 
Theresa May alishinda vote of no confidence January 19 lakini miezi minne baadae aka resign.

Tony Blair walim Pressure mpaka aka resign.
Cameron naye ni hivyo hivyo.

Boris is down the hill from here!
Borison Hana hasira Cha pombe connection kibao zamawazo kupata stress kazi Sana wezake woote kilichowaondosha nimsongo mawazo ....jamaa ni hayawani kwelikweli mfatilie uone
 
Theresa May alishinda vote of no confidence January 19 lakini miezi minne baadae aka resign.

Tony Blair walim Pressure mpaka aka resign.
Cameron naye ni hivyo hivyo.

Boris is down the hill from here!

Uko sasa hivi imekuwa ni kuviziana:
- Tony Blair aliondolewa na Gordon Brown kwa ku resign.
- Gordon Brown akaondolewa na David Cameron baada ya kipindi kifupi kupitia sanduku la kura.
  • Cameron akaondolewa na Boris kwa ku resign.
  • Theresa May akaondolewa na Boris kwa ku resign.

Kumbuka Cameron alikuwa ni rafiki na Boris kabla ya kumgeuka na kumfanyia vugu vugu mpaka aka resign.
Cameron na Theresa wana supporters(MPs) ambao bado wanauchungu na Boris. Kilichomsaidia Boris kukaa huu muda mrefu ni Covid, sasa mambo yanarudi kama kawaida wanaanza nae tena.


Nilichowahi kuandika na kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom