The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Serikali ya Uingereza inategemea kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha.
Mwezi January mwaka huu serikali ya Bw. Boris Johnson iliipa huawei kandarasi ya kutengeneza mfumo wa 5G ndani ya Uingereza kwa baadhi ya sehemu, kwamba ingeshiriki kwa 35% kuunda mfumo wa 5G na sehemu nyingine kampuni nyingine zingetumika. Huawei ingepewa maeneo ambayo sio ya muhimu.
Mwezi June mwaka huu Marekani imetangaza kuiwekea vikwazo vipya Huawei kuanzia September 15 mwaka huu. Vikwazo hivyo vinalenga kuizuia Huawei kuzalisha au kupata vifaa vya teknolojia ya 5G hivyo kupelekea hiyo kampuni kushindwa kutoa Huduma.
Nchi nyingi zimeanza kuiondoa Huawei kwenye mifumo yao ya 5G kwa sababu ya kuhofia vikwazo vipya vya Marekani ambavyo vitaifanya Huawei isiweze kutoa huduma wala kuzalisha vifaa muhimu ndani ya miezi 12 ijayo.
Huawei inasifika kuwa kinara wa teknolojia ya 5G kwa sababu inatengeneza vifaa vya teknolojia hiyo kwa bei ndogo ukilinganisha na washindani wake kama Nokia au Erickson.
Huawei could be cut out of UK's 5G network this year, say reports
===
The UK is poised to end the use of Huawei technology in its 5G network as soon as this year because of security concerns, according to reports.
The prime minister, Boris Johnson, is set to make a major policy change after GCHQ is believed to have reassessed the risks posed by the Chinese technology company, newspapers have said.
A study set to be presented to Johnson this week will declare that US sanctions on Huawei will force the company to use technology that is “untrusted”, reports said.
The prime minister’s decision to allow Huawei a limited role in Britain’s 5G network has caused tension between London and Washington DC in recent months.
A report by GCHQ’s National Cyber Security Centre has decided the US sanctions barring Huawei from using technology relying on American intellectual property has had a severe impact on the company, the Sunday Telegraph reported.
The newspaper said officials are crafting proposals to prevent new Huawei equipment being installed in the 5G network in as little as six months.
The involvement of the company in Britain’s 5G network also caused concern among a number of prominent figures on the Conservative backbenches.
The Mail on Sunday reported that the National Cyber Security Centre was instructed to carry out a review on the situation.
It also reported the organisation found that US sanctions had a major impact on the firm’s viability, the newspaper said.