Uingereza kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha, sababu ni vikwazo vya Marekani

Uingereza kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha, sababu ni vikwazo vya Marekani

Kumbe source ni Voice of America can you really take these propagandist per excellecy seriously - wapi CEO wa kampuni ya Huawei aliwahi kusema kwamba “survival ya Huawei is at stake” wapi?Zaidi ya comments hizi kuwa manufactured from highly questionable source ambazo zina stake katika crusade ya kuikandia kumpuni ya Huawei kutokana na wivu wa kike - kila mtu mwenye akili timamu anajuwa kwamba imeshindwa dismally ku-rollout a truly 5G communication network waliyo nayo ni half baked stuff ambayo throughput yake ni snail pace compared to Huawei supersonic speed, halafu US inaendelea na mbinu zaje za kujaribu ku-sabotage mauzo ya Huawei Duniani wakati wao hawana telecom stuff mbadala za kushindana na Huawei, wamesahau
kabisa kwamba asili mia 90 za 5G intellectual properties belongs Huawei - kampuni nyingi zinazo taka kuhunda a truly 5G communication network watalazimika kutumia vifaa/programs zilizo wekewa patent na Wachina(Huawei)hapo hawana ujanja wa kuwakwepa Wachina.
Nimejaribu kusoma ulichoniandika bila hata kufuata mpangilio mzuri wa uandishi, nimejitahidi angalau nielewe lakini hakuna cha maanaa cha mtu kuelewa.

Nilipofika kwenye bold hapo ndio nikahitimisha nilichokua nakiwaza.

Ahsante kwa mchango wako makini.
 
Tenda ya kuzika mnipe😀😁😂
 
Moja wapo ya tuhuma za Marekani kwa China ni hizo unfair business practices mfano ruzuku na vitu kama hivyo.
Kamba.

Sio suala la ruzuku.

Tatizo la Marekani dhidi ya Huawei ni cyber security threat posed by potential backdoor access given to the Communist politburo which could be used for spying and hacking.
 
Kamba.

Sio suala la ruzuku.

Tatizo la Marekani dhidi ya Huawei ni cyber security threat posed by potential backdoor access given to the Communist party which could be used for spying and hacking.
You are very right on Huawei but that quoted phrase I was referring to the whole thing of USA and China trade war, not specifically on Huawei.
 
Huawei anatengeneza 5G kwa bei mafuu sababu ya fund kubwa ya serikali ya china.

Huawei Wana lengo la kuwa kampuni inayoongoza kwenye Researches and Development duniani

China ina sheria inayoitaka kampuni kuisaidia serikali katika shughuli za kiintelijensia pale inapohitajika.

USA na China wote wana mitindo ya ku-spy data na mawasiliano ya watu, tofauti ya USA, kampuni inaweza ikagoma kutoa data. Ila hapa nachoona mwizi mkubwa anamtuhumu mwizi mdogo kwa wizi.
5G inatengenezwa kwa ushirikiano wa makampuni mengi.

Huawei ni mtu mdogo sana kwenye kutengeneza 5G.

Qualcom, Siemens ni moja ya wadau wakubwa kwenye kutengeneza 5G.
 
5G inatengenezwa kwa ushirikiano wa makampuni mengi.

Huawei ni mtu mdogo sana kwenye kutengeneza 5G.

Qualcom, Siemens ni moja ya wadau wakubwa kwenye kutengeneza 5G.
Hujanielewa nilichomaanisha, najua kuwa 5G ni kazi ya 3GPP( 3rd Generation Partnership Project ) ,

Nilichozungumzia huawei kama muuzaji wa miundombinu( 5G radio hardware ) ya mtandao wa 5G kwa makampuni ya simu. kutokana na sapoti ya china imefanya huawei kuuza vifaa vya 5g kwa bei nafuu kulinganisha na makampuni mengine.
 
Back
Top Bottom