Uingereza kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha, sababu ni vikwazo vya Marekani

Nimejaribu kusoma ulichoniandika bila hata kufuata mpangilio mzuri wa uandishi, nimejitahidi angalau nielewe lakini hakuna cha maanaa cha mtu kuelewa.

Nilipofika kwenye bold hapo ndio nikahitimisha nilichokua nakiwaza.

Ahsante kwa mchango wako makini.
 
Tenda ya kuzika mnipe😀😁😂
 
Moja wapo ya tuhuma za Marekani kwa China ni hizo unfair business practices mfano ruzuku na vitu kama hivyo.
Kamba.

Sio suala la ruzuku.

Tatizo la Marekani dhidi ya Huawei ni cyber security threat posed by potential backdoor access given to the Communist politburo which could be used for spying and hacking.
 
Kamba.

Sio suala la ruzuku.

Tatizo la Marekani dhidi ya Huawei ni cyber security threat posed by potential backdoor access given to the Communist party which could be used for spying and hacking.
You are very right on Huawei but that quoted phrase I was referring to the whole thing of USA and China trade war, not specifically on Huawei.
 
5G inatengenezwa kwa ushirikiano wa makampuni mengi.

Huawei ni mtu mdogo sana kwenye kutengeneza 5G.

Qualcom, Siemens ni moja ya wadau wakubwa kwenye kutengeneza 5G.
 
5G inatengenezwa kwa ushirikiano wa makampuni mengi.

Huawei ni mtu mdogo sana kwenye kutengeneza 5G.

Qualcom, Siemens ni moja ya wadau wakubwa kwenye kutengeneza 5G.
Hujanielewa nilichomaanisha, najua kuwa 5G ni kazi ya 3GPP( 3rd Generation Partnership Project ) ,

Nilichozungumzia huawei kama muuzaji wa miundombinu( 5G radio hardware ) ya mtandao wa 5G kwa makampuni ya simu. kutokana na sapoti ya china imefanya huawei kuuza vifaa vya 5g kwa bei nafuu kulinganisha na makampuni mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…