Uingereza kujitoa EU

Uingereza kujitoa EU

kwaio wanachama wa EU wanataliwa? Je nani anawatawala?
Iko hivi baadhi ya mambo yanayohusu nchi mwanachama, huwa yanaamuliwa na European commission.
SO baadhi ya waingereza waliona ni kama wanatawaliwa.
Hawawezi kujiamuria mambo yao kama wao.
 
Tangu mwanzo hawakutaka ndio maana hata Pound hawakuiacha
Ila kujitoa naona ni kura tu ndio ziliwapeleka kujitoa
Vijana hawakujitokeza sana kupiga kura na mwisho walijuta sana maana walikuwa wanaruhusiwa kusoma popote within European countries
Wamekosa mengi sana
 
Wataalamu wa mambo naomba kuuliza hivi zipi zilikua sababu za Uingereza kujitoa EU?
Soma pia Kwa ushindi wa chama cha Labor, je luna uwezekano wa Uingereza kurudi European Union?
1. ela yao kuwa replaced na Euro hilo walilikataa toka mwanzo
2. Free movement ya labor, yani raia kutoka mataifa mengine ya eastern europe walikuwa wanataka kujaa uingereza
3. Uhuru wa kunegotiate mikataba yake ya kibiashara baada ya kuwa chini ya kanuni za EU
4. na mengine watajazia
 
Back
Top Bottom