Sidhani kama hilo litasababisha Taifa la Tanzania kufutika kwenye Ulimwengu. Maisha hayajawahi kuwa raisi ,sio mepesi na hayatokuja kuwa rahisi tangu kuumbwa kwa Dunia.
itakuwa msaada mkubwa kwetu kuanza mbio za kuishi bila utegemezi wa wahisani na inaweza kuwa mwanzo wa kufungua bongo za viongozi wetu kutumia rasilimali tulizonavyo kwa maendeleo yetu wenyewe.
Kama kuna uwezekanao misaada na mikopo ya nchi na nchi ifutwe ili mchi zetu za Africa zijue nini maana ya kujitegemea maana bila hivyo tuta fikisha miaka 100 nchi huru bila kujitegemea kwa vitu vingi