Uingereza kupunguza Misaada Kwa 40% na Fedha hiyo itapelekwa kuimarisha Ulinzi wa nchi. Tanzania tuanze mikakati ya Kujitegemea!

Uingereza kupunguza Misaada Kwa 40% na Fedha hiyo itapelekwa kuimarisha Ulinzi wa nchi. Tanzania tuanze mikakati ya Kujitegemea!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri mkuu wa Uingereza ametangaza kupunguza misaada ya kimataifa kwa 40% Ili Fedha hiyo iingizwe Kwenye bajeti ya Jeshi

Ni hilo tu

Credit: Al Jazeera news
 
Sidhani kama hilo litasababisha Taifa la Tanzania kufutika kwenye Ulimwengu. Maisha hayajawahi kuwa raisi ,sio mepesi na hayatokuja kuwa rahisi tangu kuumbwa kwa Dunia.
 
Kwa hiyo British aid nao wanaondoka kwa namna hiyo?
 
itakuwa msaada mkubwa kwetu kuanza mbio za kuishi bila utegemezi wa wahisani na inaweza kuwa mwanzo wa kufungua bongo za viongozi wetu kutumia rasilimali tulizonavyo kwa maendeleo yetu wenyewe.
 
Bora izidi kufutika, huenda maisha yakazidi kutugonga, watanzania wengi waliolala nao wakaamka.
 
Tanzania , Kupitia CCM Ni Sikio La Kufa Halisikii Dawa
Gavana Yeye Daily Anasema Deni Ni Himilivu Sasa, Mwafaa
 
Tuko bado kwenye fiesta.

Tumejisahau hata hatuelewi kama Dunia imechukua uelekeo mpya.
 
M23 welcome kagera na kigoma mkifika mpaka shinyanga na tabora.
 
Kama kuna uwezekanao misaada na mikopo ya nchi na nchi ifutwe ili mchi zetu za Africa zijue nini maana ya kujitegemea maana bila hivyo tuta fikisha miaka 100 nchi huru bila kujitegemea kwa vitu vingi
 
Back
Top Bottom