Uingereza: Mchezaji Raheem Sterling aondolewa katika kikosi cha Uingereza kinachojiandaa dhidi ya Montenegro kwa kosa la ugomvi

Uingereza: Mchezaji Raheem Sterling aondolewa katika kikosi cha Uingereza kinachojiandaa dhidi ya Montenegro kwa kosa la ugomvi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Mchezaji wa klabu ya Manchester City Raheem Sterling amelezimika kuondolewa katika kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza kinachojiandaa kucheza dhidi ya nchi ya Montenegro kuwania kufuzu michuano ya Mataifa ya Ulaya maarufu kama "Euro" kufuatia ugomvi aliyouanzisha dhidi ya mchezaji Joe Gomes wa klabu ya Liverpool.

Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza amefafanua kuwa wamelazimika kuchukua uamuzi huo baada ya kuzuka ugomvi baina ya Sterling na Gomes katika uwanja wa mazoezi wa ST George's Park. Aidha, taarifa zinasema kuwa ugomvi huo ulichipuka tangu siku ya Jumapili wakati wachezaji hao walipokutana katika ngazi ya vilabu na Liverpool kuibuka na ushindi wa bao 3-1

skysports-joe-gomez-raheem-sterling_4833934.jpg

Zaidi soma

Raheem Sterling will not play in England's European Qualifier against Montenegro on Thursday due to a disturbance at their St George’s Park training complex.

England manager Gareth Southgate said that "emotions were still raw" after Sterling was involved in a clash with Joe Gomez towards the end of Liverpool's 3-1 win over Premier League title rivals Manchester City on Sunday.

It is understood the pair were again involved after meeting up for England duty on Monday, leading to Sterling's withdrawal from selection for the game with Montenegro at Wembley.


No details of the incident were revealed, although the FA confirmed Sterling remains with the squad following the "disturbance in a private team area."

Southgate said: "We have taken the decision to not consider Raheem for the match against Montenegro on Thursday.

Chanzo: Sky Sports
 
Kajamaa kajinga sana, ugomvi wa club kanapeleka timu ya taifa
 
Kajamaa kajinga sana, ugomvi wa club kanapeleka timu ya taifa
Kuna watu wengine hawana simile vitu vidogo tu "Beef".Jana kuna mitaa nilikuwa nakatiza nikakuta zogo na msela amekaa chini midamu kisogoni stori ni kwamba alikuwa na beef na mshikaji wake mapanga na mawe ya visogoni wakatwangana! Mwingine kajeruhiwa kakimbilia polisi yeye na jeraha lake kisogoni harakati zinafanyika aende hospitali la maana kutengeza beef hakuna mara walikuwa wanataniana mara sijui huyu alianza kumrushia ngumi mwenzake haya ndo hivo mwisho wa siku majeraha ya kudumu!
 
Vp Treat Alexander Arnold yeye hayupo kwenye national team? Maana yeye ndio alimdhibiti kisawasawa.
 
Unaacha kumwacha huyo Gomez ambaye hata namba ya uhakika hana ,unamwacha Raheem....ni ujinga,ila hako kamechi kenyewe kanaonekana kocha amekadharau unafikiri wangekuwa wanakutana na France au Spain angethubutu vipi kumwacha Raheem....
 
Unaacha kumwacha huyo Gomez ambaye hata namba ya uhakika hana ,unamwacha Raheem....ni ujinga,ila hako kamechi kenyewe kanaonekana kocha amekadharau unafikiri wangekuwa wanakutana na France au Spain angethubutu vipi kumwacha Raheem....
Inategemea na reaction ya wachezaji wengine juu ya hili jambo kabla ya kufanya uamuzi. Usipokuwa mwangalifu unaweza kuharibu team work kwa kufanya upendeleo wa baadhi ya wachezaji unaofikiri ni bora kuliko wenzao. Kwa hivyo aliyethibitika kuleta mtifuano ndo aondolewe bila kujali yuko 1st eleven ama 100 eleven.
 
Halafu mweupe tu
Kama sio uingereza kumpaisha hata samata hamfikii mshamba tu
 
Kapumbavu sana haka kajamaa, nadhani hiyo itatosha kumuadabisha.
 
Back
Top Bottom