Modesty and humility are not among of your multiple qualities, are they? hahahahahaHuwa hunisomi vizuri tu, ungepata faida kubwa sana ungechukuwa wasaa wako kidogo kunisoma, na ambapo hujapaelewa ungechukuwa fursa ya kuniuliza, ungejifunza mengi sana.
Modesty and humility are not among of your multiple qualities, are they? hahahahaha
kaazi kweli kweli. Wakati unaongea lugha yoyote usiogope kuonekana mshamba,usijali sijui grammar au syntax au conjunction- wewe vunja tu -huo sio mtihani kwamba baada ya maongezi utapewa below. Hatimaye unajikuta unatema lugha hiyo kama wenyewe.
Sasa utajuaje Kiingereza ilhali hata kiswahili chakupa tabu..MAIMUNA maana yake ni nini? Ni MAIMUNA au MAAMUMA.!!?
Anayekwenda Uingereza ili imsaidie ajue kiingereza nae ni bure tu, kila kitu kinawezekana tu ukitilia mkazo..sisi wengine tumeishi hapa hapa TZ lakini kiingereza tukiongea kinaeleweka based on grammar and syntax. Kuna namna mbili ya kufahamu lugha ya kigeni
1. Ishi katika mazingira yao ukijifunza hyo lugha.
2. Soma sana vitabu vyenye lugha hiyo..kwa lugha nyingine inabdi uwe na muongozo wenye lgha yako.
Nilichojifunza mm ni kuwa sisi ni wavivu sana kwenye kusoma vitabu iwe kiswahili au kiingereza.

Mkuu unajitapa umeishi hapa bongo wakati hata MAIMUNA hujui na unafikiri unanisahihisha mimi? Ngoja nikusaidie kwenye miaka ya mwanzoni mwa 90 ilianzishwa shule ya kiingereza kama sikosei wakaitangaza kwenye radio na tangazo lao lilibeba jina la yule asiyejua Kiiingereza anaitwa MAIMUNA basi kuanzia hapo ilikuwa kama Kiinglish hakipandi unaitwa Maimuna. Ni kama leo ilivyo Kayumba. Usikejeli kama hujui labda enzi hizo hamkua na redio kwenu au kijijini kwenu zilikuwa zinakamata idhaa za nchi jirani tu.
We huwajui hao wanao zungumziwa hapa.
Hata mimi nimeshawaona wakija leave.
Mi mwenyewe english yangu ya kuunga
ila nilijikuta namzidi kwa kiasi fulani yani.
Halafu wanajaribu kuficha udhaifu wao huo
kwa kuongea haraka with a fake british accent
Mbona kama umeguswa mpendwa?naona mjadala umegeuka vijembe,
kazaneni na kasumba zenu,
wakati kuna wenyewe wanaojiita english people na hawajui english,nyie wamatumbi ndio mnaona sehemu ya kupigana vijembe,kalagabaho....!!!!
Mbona kama umeguswa mpendwa?
hahahahaha
Usijali mpenzi, nakuchokoza tu... Mmmwaaaaah!wala sijaguswa....