Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Wamebarikiwa sana wawili hawa. Mungu azidi kuwapa afya njema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kiasi gani mkuu?Wafalme ndio wanawapa vyeo vya Umalikia wake zao na sio kinyume chake
Ndio maana hata mama yake na Malikia Elizabeth alikuwa Malkia baada ya King George kuwa Mfalme
Kwa hiyo Elizabeth alipokuwa Malkia mme wake akapewa cheo cha prince tu ila majukumu ni mengi na mpunga mwingi
Hivi hizi "DUKE" huwa zina maana gani?
Kama kiasi gani mkuu?
Hongera zake aiseeeeAna vyeo kama vitatu na miaka zaidi ya 50 ametumikia nchi
Na jeshini alifikia Colonel na pia alikuwa Fleet Admiral
Hawa watu hela zao sidhani kama huwa ziko wazi sana ila Royal Families kwa ujumla wanapata hela nzuri
Nafikiri account inasoma zaidi ya $30m
Hiyu jamaa kala bata sana kwa miaka mingi sana.
Ukianza kumpigusha stories za Zanzibar anajwambia "nilikuwepo siku Zanzibar inaoata Uhuru kutoka Uingereza".
Kuna watu wa visiwa fulani vya Pacific walitaka kumfanya awe Mungu wao.
Alipata tabu sana kuwaelezea kwamba yeye si Mungu.
Kikawaida watu wanasema "I hooe you live to be 100 years okd" kama wish ya birthday.
Ila huyu ukimwambia hivyo ni sawa na umwambie unamtakia aishi mwaka mmoja tu zaidi.
[emoji3][emoji3]SAFI SANA!!!!! ,Kina Nkurunzinza na udikteta uchwar wao wanakufa wakiwa na miaka 55 tu
Ndivyo alivyo tangu ujana.Ila mzee huyu ana maneno kuntu sana yaani kila akienda na Malkia lazima ataacha neno la karaha huwa nacheka sana
Ila hawa watu wanaishi mda mrefu na afya zao kwa Kweli
Ndivyo alivyo tangu ujana.
Halafu kashamtuliza Malkia wake tangu Malkia ana miaka 16, kamkuza mwenyewe.
Malkia hasemi kitu kapata pumbazo la roho yake na u Malkia wake wote.
Bado kidogo tu mkuu nitaleta mrejeshoNdiko unakoelekea(uzeeni), Mwenyezi Mungu akikujalia kufika salama ukumbuke kutupa mrejesho
Sasa huyo Charlez anasema hajamuona baba yake muda mrefu sana kwani anakatazwa kwenda kumtembelea?
Wazee wanaotunzwa vizuri sanaa, ukiambiwa huyo Bibi ana miaka yote hiyo unaweza kukataa
Hongera zake,sio huyu alipata ajali mwaka Jana akiendesha gari mwenyewe?