Uingereza: Mwanaume avunja ndoa iliyodumu kwa miaka 10, ili kumuoa mkimbizi wa Ukraine ambaye walijitolea kumsaidia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mwanaume mmoja nchini Uingereza anayefahamika kwa jina la Tony Garnet, ameachana na mkewe Lorna Garnett aliyedumu naye kwa miaka 10 na kufanikiwa kupata watoto wawili, na kuanza mahusiano mapya na mkimbizi wa Ukraine, Sofiia Karkadym aliyempenda ndani ya siku 10.

1653377739922.png
Tony akiwa na Mrembo Sofiia Karkadym kutoka Ukraine
Tony na mkewe Lorna Garnett walijitolea kutafuta mkimbizi wa Ukraine kwa ajili ya kuishi naye nyumbani baada ya nchi hiyo kuingia katika vita dhidi ya Urusi. Katika kutafuta wakatokea kumpenda Sofiia na kuanza taratibu za kumchukua kutoka Ukraine na kumleta Uingereza.

Mwezi Mei mwaka huu Sofiia alikaribishwa ndani ya familia hiyo, na ndani ya Siku 10 baba mwenye nyumba Tony alivutiwa na binti huyo mpaka kupelekea kumuacha mkewe na kuanza maisha mapya na Sofiia.

EATV
 
[emoji1] huyo jamaa katili
 
Hiyo story wameificha ficha tu,
Ukweli ni kua kuna trend ipo inaitwa Polyamory,
Couple yoyote inaamua kuongeza mtu mwingine katika Mahusiano yao kwa ajili ya kufanya Mapenzi,

Hiyo Married Couple lazima walimtafuta Sophia wa Ukraine kwa ajili ya Polyamory matokeo yake jamaa aka fall mazima na hizo kesi zipo sanaaa.
 
Unaenda kumtoa mtu kwao huko, misaada iwe na limit.
 
Samahani lakini ...una hakika walikuwa wamefunga ndoa? ... una hakika waliishi miaka 10? ..... kama hutojali tuwekee chanzo cha habari yako mkuu achana na EATV .... otherwise tutaona ni porojo tu .....
 
Yaani mnalazimishisha kila kitu kiwe LBGTQ!!
Hiyo story wameificha ficha tu,
Ukweli ni kua kuna trend ipo inaitwa Polyamory,
Couple yoyote inaamua kuongeza mtu mwingine katika Mahusiano yao kwa ajili ya kufanya Mapenzi,

Hiyo Married Couple lazima walimtafuta Sophia wa Ukraine kwa ajili ya Polyamory matokeo yake jamaa aka fall mazima na hizo kesi zipo sanaaa.
 
Mwanaume mmoja nchini Uingereza anayefahamika kwa jina la Tony Garnet, ameachana na mkewe Lorna Garnett aliyedumu naye kwa miaka 10 na kufanikiwa kupata watoto wawili, na kuanza mahusiano mapya na mkimbizi wa Ukraine, Sofiia Karkadym aliyempenda ndani ya siku 10.

Tony na mkewe Lorna Garnett walijitolea kutafuta mkimbizi wa Ukraine kwa ajili ya kuishi naye nyumbani baada ya nchi hiyo kuingia katika vita dhidi ya Urusi. Katika kutafuta wakatokea kumpenda Sofiia na kuanza taratibu za kumchukua kutoka Ukraine na kumleta Uingereza.

Mwezi Mei mwaka huu Sofiia alikaribishwa ndani ya familia hiyo, na ndani ya Siku 10 baba mwenye nyumba Tony alivutiwa na binti huyo mpaka kupelekea kumuacha mkewe na kuanza maisha mapya na Sofiia.

EATV
Huyo jamaa mjinga, ngoja vita iishe Ukraine hata amini mwanamke anapoaga anarud kwa mume wake wa awali.!
 
Back
Top Bottom