Uingereza: Mwanaume avunja ndoa iliyodumu kwa miaka 10, ili kumuoa mkimbizi wa Ukraine ambaye walijitolea kumsaidia

Uingereza: Mwanaume avunja ndoa iliyodumu kwa miaka 10, ili kumuoa mkimbizi wa Ukraine ambaye walijitolea kumsaidia

Hii ndo ile tunakuta mtu hapendagi wageni, tunaanza kulaumu
"ana roho mbaya Sana uyu, Hana utu kabisa"

Kumbe yameshamkuta[emoji26]
 
Hiyo story wameificha ficha tu,
Ukweli ni kua kuna trend ipo inaitwa Polyamory,
Couple yoyote inaamua kuongeza mtu mwingine katika Mahusiano yao kwa ajili ya kufanya Mapenzi,

Hiyo Married Couple lazima walimtafuta Sophia wa Ukraine kwa ajili ya Polyamory matokeo yake jamaa aka fall mazima na hizo kesi zipo sanaaa.
Duh! Ndo tulikofikia uko?
Hivi kwenye maandiko Hii polyamory Kuna mahali imewahi kutokea?
Maana tunaambiwa Hakuna jipya chin ya jua[emoji848]
 
Hii inafanana na ya huku bongo,
Mama zetu wanaajiri mahousegirl wabovu kuepuka ushindani kwa mumewe[emoji4]
 
Hiyo story wameificha ficha tu,
Ukweli ni kua kuna trend ipo inaitwa Polyamory,
Couple yoyote inaamua kuongeza mtu mwingine katika Mahusiano yao kwa ajili ya kufanya Mapenzi,

Hiyo Married Couple lazima walimtafuta Sophia wa Ukraine kwa ajili ya Polyamory matokeo yake jamaa aka fall mazima na hizo kesi zipo sanaaa.
Kheeeeh kumbe?
 
Kwa hiyo Waislam wako sahihi kwenye hili kwa upande wa mwanaume kuoa wanne.
 
Si umeona wanaume wa kizungu wameshindwa kuvumilia mwanamke huyo huyo mmoja

Nyie visebengo wa huku mnatupigia Makelele tu tukiwaambia ukweli

Huwa wanaume haturidhiki
 
Kwa hiyo Waislam wako sahihi kwenye hili kwa upande wa mwanaume kuoa wanne.
Hiyo ya Waislam inaitwa Polygamy, ni zaidi ya Mke mmoja,
Hii Polyamory ni Wanandoa/Wapenzi wanaamua kuongeza mtu mwingine katika kufanya mapenzi na mapenzi yao yatafanyika kwa wote watatu (Threesome)

Wazungu wanaipigia sana chapuo hiyo Polyamory lakini hawakubaliani na Polygamy.
 
Mwanaume mmoja nchini Uingereza anayefahamika kwa jina la Tony Garnet, ameachana na mkewe Lorna Garnett aliyedumu naye kwa miaka 10 na kufanikiwa kupata watoto wawili, na kuanza mahusiano mapya na mkimbizi wa Ukraine, Sofiia Karkadym aliyempenda ndani ya siku 10.

Tony na mkewe Lorna Garnett walijitolea kutafuta mkimbizi wa Ukraine kwa ajili ya kuishi naye nyumbani baada ya nchi hiyo kuingia katika vita dhidi ya Urusi. Katika kutafuta wakatokea kumpenda Sofiia na kuanza taratibu za kumchukua kutoka Ukraine na kumleta Uingereza.

Mwezi Mei mwaka huu Sofiia alikaribishwa ndani ya familia hiyo, na ndani ya Siku 10 baba mwenye nyumba Tony alivutiwa na binti huyo mpaka kupelekea kumuacha mkewe na kuanza maisha mapya na Sofiia.

EATV
Huyu sasa ni shujaa wa ULAYA
 
Back
Top Bottom