Uingereza: Mwanaume avunja ndoa iliyodumu kwa miaka 10, ili kumuoa mkimbizi wa Ukraine ambaye walijitolea kumsaidia

Hii ndo ile tunakuta mtu hapendagi wageni, tunaanza kulaumu
"ana roho mbaya Sana uyu, Hana utu kabisa"

Kumbe yameshamkuta[emoji26]
 
Duh! Ndo tulikofikia uko?
Hivi kwenye maandiko Hii polyamory Kuna mahali imewahi kutokea?
Maana tunaambiwa Hakuna jipya chin ya jua[emoji848]
 
Hii inafanana na ya huku bongo,
Mama zetu wanaajiri mahousegirl wabovu kuepuka ushindani kwa mumewe[emoji4]
 
Kheeeeh kumbe?
 

Kwa hiyo Waislam wako sahihi kwenye hili kwa upande wa mwanaume kuoa wanne.
 
Si umeona wanaume wa kizungu wameshindwa kuvumilia mwanamke huyo huyo mmoja

Nyie visebengo wa huku mnatupigia Makelele tu tukiwaambia ukweli


Huwa wanaume haturidhiki
 
Kwa hiyo Waislam wako sahihi kwenye hili kwa upande wa mwanaume kuoa wanne.
Hiyo ya Waislam inaitwa Polygamy, ni zaidi ya Mke mmoja,
Hii Polyamory ni Wanandoa/Wapenzi wanaamua kuongeza mtu mwingine katika kufanya mapenzi na mapenzi yao yatafanyika kwa wote watatu (Threesome)

Wazungu wanaipigia sana chapuo hiyo Polyamory lakini hawakubaliani na Polygamy.
 
Huyu sasa ni shujaa wa ULAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…