kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,340 Reaction score 12,055 Jun 24, 2016 #1 Nauliza tu! baada ya kura ya kujiondoa kwenye umoja wa Ulaya kushinda hatma ya soka itakuwaje pale waingereza watakapojiondoa jumla? mashindano km EURO na UEFA Champions league itaendelea kushiriki wakati ishajitenga, naomba nieleweshe
Nauliza tu! baada ya kura ya kujiondoa kwenye umoja wa Ulaya kushinda hatma ya soka itakuwaje pale waingereza watakapojiondoa jumla? mashindano km EURO na UEFA Champions league itaendelea kushiriki wakati ishajitenga, naomba nieleweshe
xYz07 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 4,077 Reaction score 5,910 Jun 24, 2016 #2 Mbona urusi haipo EU lakini wanashiriki euro kama kawaida.
Magic Mike Senior Member Joined May 25, 2016 Posts 111 Reaction score 114 Jun 24, 2016 #3 herrera said: Mbona urusi haipo EU lakini wanashiriki euro kama kawaida. Click to expand... You are right.! Uingereza ataendelea kushiriki mashindano yote kama kawaida.
herrera said: Mbona urusi haipo EU lakini wanashiriki euro kama kawaida. Click to expand... You are right.! Uingereza ataendelea kushiriki mashindano yote kama kawaida.