Uingereza na EURO itakuwaje?

Uingereza na EURO itakuwaje?

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,340
Reaction score
12,055
Nauliza tu! baada ya kura ya kujiondoa kwenye umoja wa Ulaya kushinda hatma ya soka itakuwaje pale waingereza watakapojiondoa jumla? mashindano km EURO na UEFA Champions league itaendelea kushiriki wakati ishajitenga, naomba nieleweshe
 
Mbona urusi haipo EU lakini wanashiriki euro kama kawaida.
 
Back
Top Bottom