Ona ulivyo punguani unalinganisha maisha ya Waingereza na Wafaransa na sisi? Halafu wamekwambia kuwa katiba yao ina mapungufu?Kama ni Kila kitu mbona haijaleta maisha mazuri huko wanakoandamana? Nendeni basi mkawaandikie Katiba
Hello Wadau,
Binafsi naunga mkono Katiba Mpya ila siungi mkono Katiba Mpya ya kuondoa wahuni wa CCM na kuleta wahuni wa Chadema,nataka Katiba Mpya ambayo ni takwa la Wananchi na mda ndio utaileta watake au wasitake.
Baada ya huo utangulizi, Lisu na Chadema wamekuwa wanawadanganya watu kwamba Katiba Mpya ndio suluhisho na muarobaini wa matatizo Yao ya kiuchumi na kwamba Wao wanapigania Hilo Ili watu wapate neema.
Wamefika mbali wanasema maharage kuwa Juu ni sababu ya Kisiasa kwamba Katiba Mpya itatatua Ugumu wa Maisha, mfumuko wa bei nk.
Sasa huko Uingereza na Ufaransa kwenye Katiba Mpya na Bora watu Wanaandamana Kwa sababu za Ugumu wa Maisha uliosababishwa na mfumuko mkubwa wa bei za chakula na nishati kiasi kwamba uchumi ni mgumu.
Kwa kuwa kina Lissu na Chadema ndio mabingwa wa Katiba za kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi,nitoe wito kwao wakachangamkie tenda huko Ufaransa na Uingereza au hata Kenya.
Za kuambiwa changanya na zako,kataa wahuni ogopa matapeli wa Kisiasa👇
Haitoleta ugali mezani bali itarahisisha upatikanaji wa huo ugali !Kwa nini mnawaambia watu Katiba inaleta ugali na maisha Bora?
Katiba bora!Kwani katiba ya Sasa inazuia migomo? Wewe shida Yako ni maisha Bora au mgomo?
Kinachowafanya watu wakiamshe ni Ugumu wa Maisha au tukio la ndivyosivyo.Kumenunuliwa wabunge, zikapotea pesa kwenye chaguzi za kubumba, pesa zimetoroshwa china, achilia mbali wizi kwingine. Pesa hizi zisingetumika kupunguza mfumuko wa bei? Hayakutokea haya kutokana na mapungufu makubwa ya katiba? Jaji mkuu na waliokuwa kina DPP hawangalipo bado ofisini na kazi zinaendelea?
Halafu michawa mizamivu inakenenua.
Bure kabisa!
Bora ndio itakuletea ugali? Itafanya maisha yawe rahisi?Katiba bora!
Ujinga wako unawaza ugali tu nje ya hapo ni punguani!Bora ndio itakuletea ugali? Itafanya maisha yawe rahisi?
Kwa akili za mleta mada, safari ni ndefu sana.Hello Wadau,
Binafsi naunga mkono Katiba Mpya ila siungi mkono Katiba Mpya ya kuondoa wahuni wa CCM na kuleta wahuni wa Chadema,nataka Katiba Mpya ambayo ni takwa la Wananchi na mda ndio utaileta watake au wasitake.
Baada ya huo utangulizi, Lisu na Chadema wamekuwa wanawadanganya watu kwamba Katiba Mpya ndio suluhisho na muarobaini wa matatizo Yao ya kiuchumi na kwamba Wao wanapigania Hilo Ili watu wapate neema.
Wamefika mbali wanasema maharage kuwa Juu ni sababu ya Kisiasa kwamba Katiba Mpya itatatua Ugumu wa Maisha, mfumuko wa bei nk.
Sasa huko Uingereza na Ufaransa kwenye Katiba Mpya na Bora watu Wanaandamana Kwa sababu za Ugumu wa Maisha uliosababishwa na mfumuko mkubwa wa bei za chakula na nishati kiasi kwamba uchumi ni mgumu.
Kwa kuwa kina Lissu na Chadema ndio mabingwa wa Katiba za kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi,nitoe wito kwao wakachangamkie tenda huko Ufaransa na Uingereza au hata Kenya.
Za kuambiwa changanya na zako,kataa wahuni ogopa matapeli wa Kisiasa👇
Kwa hiyo huko wanakoandamana Katiba zao ni mbovu zinafanya upatikanaji wa ugali kuwa mgumu au?Haitoleta ugali mezani bali itarahisisha upatikanaji wa huo ugali !
Safar ya kwenda wapi?Kwa akili za mleta mada, safari ni ndefu sana.
Kinachowafanya watu wakiamshe ni Ugumu wa Maisha au tukio la ndivyosivyo.
Ukiona watu wako kimya ni kwamba wanaimani Bado na Serikali kumshughulikia Kwa njia ya kawaida Changamoto zilizipo..
China pamoja na ubabe wake ila watu waliandamana wakakataa covid,Kuna Katiba gani kule? Na serikali ilinywe.
So time ndio itakuja kuamua hayo sio upuuzi wenu wa kulazimisha kutoka wezi A na kuingia wezi B
Wale wana kila kitu bali wanataka zaidi tu wamechoka kula kuku !! Hivi ni kwanini hamtaki katiba mpya?! Kwani ikija katiba mpya mtakosa ugali hapo mezani ?!Kwa hiyo huko wanakoandamana Katiba zao ni mbovu zinafanya upatikanaji wa ugali kuwa mgumu au?
Kuna hoja ya kwamba kila kitu kinahusiana na katiba na hivyo matatizo yetu yanahusiano moja kwa moja na katiba, ndio maana huu uzi unahoji vp kwa hao wenzetu kwamba nao katiba zao zimepungua nini?Wale wana kila kitu bali wanataka zaidi tu wamechoka kula kuku !! Hivi ni kwanini hamtaki katiba mpya?! Kwani ikija katiba mpya mtakosa ugali hapo mezani ?!
Mda ukifika nitapigana,kuoigania jambo ni ku risk maisha so Hadi ifikie point ya kukata tamaa ndio nawesa risk maishaFair enough mkuu,why uruhusu ccm na chadema wakupiganie?,pigana nawe usisubirie watu wakupiganie
Acha ujingaWale wana kila kitu bali wanataka zaidi tu wamechoka kula kuku !! Hivi ni kwanini hamtaki katiba mpya?! Kwani ikija katiba mpya mtakosa ugali hapo mezani ?!
Ugumu wa Maisha upo ila haujafikia point ya kukata tamaa na ku risk maisha..Ugumu wa maisha hujausikia au wewe kama mnufaika wa wizi A kama vipi hadi watu wafe wakipigania mustakabala mwingine?
Kwanini unadhani mustakabala mwingine utaleta mwizi B? Kwa nini huoni kuwa mustakabala mwingine utaondoa wezi.
Zingatia tunataka mustakabala mwingine utakao ondoa wezi madarakani kwa kuweka serikali zenye kuwajibika kwa watu.
Serikali yenye kuwajibika kwa watu haiwezi kuwa ya wezi!
Kwani katiba ya Sasa inakuzuia kuandamana? Sie tukiwa sekondyna chuo tumewahi andamana mara nyingi tuuKungekuwa na katiba mpya watu wange andamana na suluhisho lingepatikana kwa sababu hakuna katiba mpya watu wanalala na njaa kama mtoa mada wanaugulia ndani kwa ndani. Basi endelea kufuatilia huko ulaya majibu ya suluhu watatoa kwa ajili ya huo huo mgomo ila si hapa bongo. Maadui ambao bado tunapambana nao mpaka leo aliotuachia mwalimu ni ujinga, maradhi na umasikini. Mtoa mada wewe ni ushahidi una ujinga, maradhi na umasikini;
Kwani maandamano ya chuo na sekondary yana uzito sawa na maandamano ya kisiasa yanayogusa maslahi ya Mambuzi moja kwa moja.Kwani katiba ya Sasa inakuzuia kuandamana? Sie tukiwa sekondyna chuo tumewahi andamana mara nyingi tuu
Ugumu wa Maisha upo ila haujafikia point ya kukata tamaa na ku risk maisha..
Ugumu wa Sasa unavumilika na una matumaini ya Kubadilika ila ukifikia point ya kutovimilika automatic utaona tutajaa barabarani bila kusukumwa na mtu.