Uingereza na Ufaransa wanaandamana kwa ugumu wa maisha, Lissu na CHADEMA changamkieni tenda ya kutengeneza Katiba Mpya kule

Hello Wadau,

Binafsi naunga mkono Katiba Mpya ila siungi mkono Katiba Mpya ya kuondoa wahuni wa CCM na kuleta wahuni wa Chadema,nataka Katiba Mpya ambayo ni takwa la Wananchi na mda ndio utaileta watake au wasitake.

Baada ya huo utangulizi, Lisu na Chadema wamekuwa wanawadanganya watu kwamba Katiba Mpya ndio suluhisho na muarobaini wa matatizo Yao ya kiuchumi na kwamba Wao wanapigania Hilo Ili watu wapate neema.

Wamefika mbali wanasema maharage kuwa Juu ni sababu ya Kisiasa kwamba Katiba Mpya itatatua Ugumu wa Maisha, mfumuko wa bei nk.

Sasa huko Uingereza na Ufaransa kwenye Katiba Mpya na Bora watu Wanaandamana Kwa sababu za Ugumu wa Maisha uliosababishwa na mfumuko mkubwa wa bei za chakula na nishati kiasi kwamba uchumi ni mgumu.

Kwa kuwa kina Lissu na Chadema ndio mabingwa wa Katiba za kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi,nitoe wito kwao wakachangamkie tenda huko Ufaransa na Uingereza au hata Kenya.

Za kuambiwa changanya na zako,kataa wahuni ogopa matapeli wa Kisiasa👇

Kumenunuliwa wabunge, zikapotea pesa kwenye chaguzi za kubumba, pesa zimetoroshwa china, achilia mbali wizi kwingine. Pesa hizi zisingetumika kupunguza mfumuko wa bei? Hayakutokea haya kutokana na mapungufu makubwa ya katiba? Waliohusika
hawangalipo bado ofisini na kazi zinaendelea?

Halafu michawa mizamivu inakenenua.

Bure kabisa!
 
Kumenunuliwa wabunge, zikapotea pesa kwenye chaguzi za kubumba, pesa zimetoroshwa china, achilia mbali wizi kwingine. Pesa hizi zisingetumika kupunguza mfumuko wa bei? Hayakutokea haya kutokana na mapungufu makubwa ya katiba? Jaji mkuu na waliokuwa kina DPP hawangalipo bado ofisini na kazi zinaendelea?

Halafu michawa mizamivu inakenenua.

Bure kabisa!
Kinachowafanya watu wakiamshe ni Ugumu wa Maisha au tukio la ndivyosivyo.

Ukiona watu wako kimya ni kwamba wanaimani Bado na Serikali kumshughulikia Kwa njia ya kawaida Changamoto zilizipo..

China pamoja na ubabe wake ila watu waliandamana wakakataa covid,Kuna Katiba gani kule? Na serikali ilinywe.

So time ndio itakuja kuamua hayo sio upuuzi wenu wa kulazimisha kutoka wezi A na kuingia wezi B
 
Hello Wadau,

Binafsi naunga mkono Katiba Mpya ila siungi mkono Katiba Mpya ya kuondoa wahuni wa CCM na kuleta wahuni wa Chadema,nataka Katiba Mpya ambayo ni takwa la Wananchi na mda ndio utaileta watake au wasitake.

Baada ya huo utangulizi, Lisu na Chadema wamekuwa wanawadanganya watu kwamba Katiba Mpya ndio suluhisho na muarobaini wa matatizo Yao ya kiuchumi na kwamba Wao wanapigania Hilo Ili watu wapate neema.

Wamefika mbali wanasema maharage kuwa Juu ni sababu ya Kisiasa kwamba Katiba Mpya itatatua Ugumu wa Maisha, mfumuko wa bei nk.

Sasa huko Uingereza na Ufaransa kwenye Katiba Mpya na Bora watu Wanaandamana Kwa sababu za Ugumu wa Maisha uliosababishwa na mfumuko mkubwa wa bei za chakula na nishati kiasi kwamba uchumi ni mgumu.

Kwa kuwa kina Lissu na Chadema ndio mabingwa wa Katiba za kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi,nitoe wito kwao wakachangamkie tenda huko Ufaransa na Uingereza au hata Kenya.

Za kuambiwa changanya na zako,kataa wahuni ogopa matapeli wa Kisiasa👇

Kwa akili za mleta mada, safari ni ndefu sana.
 
Kinachowafanya watu wakiamshe ni Ugumu wa Maisha au tukio la ndivyosivyo.

Ukiona watu wako kimya ni kwamba wanaimani Bado na Serikali kumshughulikia Kwa njia ya kawaida Changamoto zilizipo..

China pamoja na ubabe wake ila watu waliandamana wakakataa covid,Kuna Katiba gani kule? Na serikali ilinywe.

So time ndio itakuja kuamua hayo sio upuuzi wenu wa kulazimisha kutoka wezi A na kuingia wezi B

Ugumu wa maisha hujausikia au wewe kama mnufaika wa wizi A kama vipi hadi watu wafe wakipigania mustakabala mwingine?

Kwanini unadhani mustakabala mwingine utaleta mwizi B? Kwa nini huoni kuwa mustakabala mwingine utaondoa wezi.

Zingatia tunataka mustakabala mwingine utakao ondoa wezi madarakani kwa kuweka serikali zenye kuwajibika kwa watu.

Serikali yenye kuwajibika kwa watu haiwezi kuwa ya wezi!
 
Wale wana kila kitu bali wanataka zaidi tu wamechoka kula kuku !! Hivi ni kwanini hamtaki katiba mpya?! Kwani ikija katiba mpya mtakosa ugali hapo mezani ?!
Kuna hoja ya kwamba kila kitu kinahusiana na katiba na hivyo matatizo yetu yanahusiano moja kwa moja na katiba, ndio maana huu uzi unahoji vp kwa hao wenzetu kwamba nao katiba zao zimepungua nini?
 
Fair enough mkuu,why uruhusu ccm na chadema wakupiganie?,pigana nawe usisubirie watu wakupiganie
Mda ukifika nitapigana,kuoigania jambo ni ku risk maisha so Hadi ifikie point ya kukata tamaa ndio nawesa risk maisha
 
Kungekuwa na katiba mpya watu wange andamana na suluhisho lingepatikana kwa sababu hakuna katiba mpya watu wanalala na njaa kama mtoa mada wanaugulia ndani kwa ndani. Basi endelea kufuatilia huko ulaya majibu ya suluhu watatoa kwa ajili ya huo huo mgomo ila si hapa bongo. Maadui ambao bado tunapambana nao mpaka leo aliotuachia mwalimu ni ujinga, maradhi na umasikini. Mtoa mada wewe ni ushahidi una ujinga, maradhi na umasikini;
 
Ugumu wa maisha hujausikia au wewe kama mnufaika wa wizi A kama vipi hadi watu wafe wakipigania mustakabala mwingine?

Kwanini unadhani mustakabala mwingine utaleta mwizi B? Kwa nini huoni kuwa mustakabala mwingine utaondoa wezi.

Zingatia tunataka mustakabala mwingine utakao ondoa wezi madarakani kwa kuweka serikali zenye kuwajibika kwa watu.

Serikali yenye kuwajibika kwa watu haiwezi kuwa ya wezi!
Ugumu wa Maisha upo ila haujafikia point ya kukata tamaa na ku risk maisha..

Ugumu wa Sasa unavumilika na una matumaini ya Kubadilika ila ukifikia point ya kutovimilika automatic utaona tutajaa barabarani bila kusukumwa na mtu.
 
Kungekuwa na katiba mpya watu wange andamana na suluhisho lingepatikana kwa sababu hakuna katiba mpya watu wanalala na njaa kama mtoa mada wanaugulia ndani kwa ndani. Basi endelea kufuatilia huko ulaya majibu ya suluhu watatoa kwa ajili ya huo huo mgomo ila si hapa bongo. Maadui ambao bado tunapambana nao mpaka leo aliotuachia mwalimu ni ujinga, maradhi na umasikini. Mtoa mada wewe ni ushahidi una ujinga, maradhi na umasikini;
Kwani katiba ya Sasa inakuzuia kuandamana? Sie tukiwa sekondyna chuo tumewahi andamana mara nyingi tuu
 
Ugumu wa Maisha upo ila haujafikia point ya kukata tamaa na ku risk maisha..

Ugumu wa Sasa unavumilika na una matumaini ya Kubadilika ila ukifikia point ya kutovimilika automatic utaona tutajaa barabarani bila kusukumwa na mtu.

Unayoyasema ndiyo yanayotumiwa kama karata na walamba asali kuzuia haki hii ya kupata katiba nyingine tokea miaka ya 90.

Ilikuwa heri wakaridhia na kuwa sehemu ya mchezo. Vinginevyo wasishangae wasije kushangaza.

Watakuwa wageni wa nani?
 
Back
Top Bottom