Uingereza pia yapeleka vifaa vyake vya kijeshi Mashariki ya Kati. Huu ndio mwisho wa Iran?

Uingereza pia yapeleka vifaa vyake vya kijeshi Mashariki ya Kati. Huu ndio mwisho wa Iran?

Baada ya Marekani kuanza kusogeza madude kuelekea karibu na Iran, haya Uingereza nao pia wameanza maandalizi, makobaz mumeonywa siku nyingi muache ugaidi, muishi kwa amani na dunia ila mlishipaza shingoni, Israel imesambaratisha uwezo wa Iran kuzuia makombora, Sasa muda wowote tutashuhudia Iran ikikombokewa na kuwa taifa huru lisilo na uzombi wa makobaz
-------------

Britain is moving additional military assets, including fighter jets, to the Middle East to provide support across the region, Prime Minister Keir Starmer told reporters on Saturday as he was en route to a Group of Seven meeting in Canada.

Iran and Israel traded missiles and airstrikes on Saturday, the day after Israel launched an air offensive against its old enemy, killing commanders and scientists and bombing nuclear sites in a stated bid to stop it building an atomic weapon.

Source: J Post

SHOGA ISRAELI MAVI YAMEMJAA SURUALINI , LAZIMA MASHOGA WENZAKE WAJE KUMSAIDIA , kachokoza nyuki mambo yamemgeukia
 
Israel pekee yake imenyandua Iran, makamanda wakuu na wanasayansi wa manyuklia wote leo hii kila mmoja amepewa mabikira 72 kule huwa mnaaminishana zile pumba zenu.
Israeli hata akipigana na wanamgambo dhaifu wa KDF bado kenya itashinda sembuse iran?
 
Baada ya Marekani kuanza kusogeza madude kuelekea karibu na Iran, haya Uingereza nao pia wameanza maandalizi, makobaz mumeonywa siku nyingi muache ugaidi, muishi kwa amani na dunia ila mlishipaza shingoni, Israel imesambaratisha uwezo wa Iran kuzuia makombora, Sasa muda wowote tutashuhudia Iran ikikombokewa na kuwa taifa huru lisilo na uzombi wa makobaz
-------------

Britain is moving additional military assets, including fighter jets, to the Middle East to provide support across the region, Prime Minister Keir Starmer told reporters on Saturday as he was en route to a Group of Seven meeting in Canada.

Iran and Israel traded missiles and airstrikes on Saturday, the day after Israel launched an air offensive against its old enemy, killing commanders and scientists and bombing nuclear sites in a stated bid to stop it building an atomic weapon.

Source: J Post
Dege lla mixigo la China limetua Iran muda si mrefu Israel lazima akae tu. Iran ya moto
 
Afu mtoa mada mjinga kweli anadhani UK ina weza kupigana yuko open mbele ya iran kule Yemen si alikimbia hahaha
 
Mataifa karibia yote yanaiunga mkono Israel, na kuiona ni shujaa wa Ulimwengu. Iran imekiuka mkataba wa nuclear, na iliamua kujiondoa kwa ubabe. Ilikuwa inasubiriwa ni nani ataiadhibu Iran iliyoipuuza UN. Kwenye hili Israel itapata uungwaji mkono wa mataifa mengi, na hasa nchi majirani na Iran, zinazohofia mwenendo wa Iran wa kusaka silaha za maangamizi. Ndiyo maana mataifa ua kiarabu, jirani na Iran yamekuwa yakidungua makomboraya Iran yaliyoelekezwa Israel. Iran inatakiwa kujitafakari kabla ya kusababisha maafa makubwa kwa raia wake.
Huna unalolijua tulia soma comment usijifanye mchambuz ss hatusomi maaakala yyaaa maulidi kkitenge tynafatilia ilivo waongoppee hujo mKongo
 
Afu mtoa mada mjinga kweli anadhani UK ina weza kupigana yuko open mbele ya iran kule Yemen si alikimbia hahaha
Huyu jamaa anajua vita ya kutupiana Mavi huko Kibera

Waingereza wanaingia kwa sababu ya kutuliza uchumi usiyumbe na mafuta kupanda zaidi

Yeye anadhani flying toilet zao
 
Back
Top Bottom