beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Raia wa Uingereza watakaoruhusu Wananchi wanaokimbia mapigano Nchini Ukraine kukaa nyumbani kwao au kuwapa eneo kwa kipindi kisichopungua miezi sita watalipwa Paundi 350 kwa mwezi
Hatua hiyo ya Serikali ni jaribio la kupunguza hasira zilizopo kuhusu namna inavyoshughulikia mzozo wa Wakimbizi unaokua kwa kasi zaidi Barani Ulaya tangu Vita vya Pili vya Dunia
Chini ya Mpango huo uitwao "Makazi kwa Ukraine" Wakimbizi wataruhusiwa kuingia Uingereza hata kama hawana Familia
=======
The United Kingdom will pay people to open their homes to Ukrainians fleeing the Russian invasion as the government moves to deflect anger about its response to the fastest-growing refugee crisis in Europe since World War Two.
The new scheme called “Homes for Ukraine” will let refugees from the war come to the UK even if they do not have family ties, the government said.
The country will pay people 350 pounds ($456) a month if they can offer refugees a spare room or property for a minimum period of six months
Source: Al Jazeera