Uingereza: Serikali kuwalipa watakaowapa makazi wananchi wa Ukraine

Uingereza: Serikali kuwalipa watakaowapa makazi wananchi wa Ukraine

Paundi 350 (sawa na 1,053,000 Tsh) ni pesa ndogo sana
Raia wa Uingereza watakaoruhusu Wananchi wanaokimbia mapigano Nchini Ukraine kukaa nyumbani kwao au kuwapa eneo kwa kipindi kisichopungua miezi sita watalipwa Paundi 350 kwa mwezi

Hatua hiyo ya Serikali ni jaribio la kupunguza hasira zilizopo kuhusu namna inavyoshughulikia mzozo wa Wakimbizi unaokua kwa kasi zaidi Barani Ulaya tangu Vita vya Pili vya Dunia

Chini ya Mpango huo uitwao "Makazi kwa Ukraine" Wakimbizi wataruhusiwa kuingia Uingereza hata kama hawana Familia

=======

The United Kingdom will pay people to open their homes to Ukrainians fleeing the Russian invasion as the government moves to deflect anger about its response to the fastest-growing refugee crisis in Europe since World War Two.

The new scheme called “Homes for Ukraine” will let refugees from the war come to the UK even if they do not have family ties, the government said.

The country will pay people 350 pounds ($456) a month if they can offer refugees a spare room or property for a minimum period of six months

Source: Al Jazeera
 
Iliwahi tokea kipindi niko form two mamkubwa alileta wageni hiace nzima pamoja na dereva wake eti kigari kimewagomea usiku then kawaambia twenden tukalale kwa mdogo wangu....nakumbuka tulilazwa wote sebuleni mi nililala karibu na Rasi tukawa tunagongana tu makalio.Ilikuwa hatari sana
[emoji16][emoji16][emoji16] Hawa kukula
 
Hapo wengine ndo nafasi ya kutafuta maisha hakuna kurudi tena Ukraine,humohumo Kuna wahalifu wa kawaida na waliokubuhu kutoka Ukraine,pia wapelelezi na majasusi ya kirusi lazima wachangamkie hii fursa ni mwendo wa kujimix na raia wa Ukraine Mana wanafanana tu ndo hao hao,makahaba ndo nafasi hiyo UK Kuna mpunga mrefu Sana kwa tasnia kongwe hiyo na Mambo mengine kibao ya faida na hasara...​
Hapo Kuna majasusi Kama wote , in short ulaya magharibi ijiandae kuja kuwa na wimbi la magaidi watajua hawajui [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hapo Kuna majasusi Kama wote , in short ulaya magharibi ijiandae kuja kuwa na wimbi la magaidi watajua hawajui [emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah,na wadada wa ki "slavs" walivyowazuri watatumika Kama honey traps kwa watu wa UK...
 
hivi kule Afghanistan,Syria,Iraq,na Nchi zingine za k'islam hua wanaua mbuzi jamani ?

mimi hii inanifanya niiombee RUSSIA ipige Ukrain mpaka ibaki vumbi tu maana kumbe inaonekana duniani kuna watu wenye thamani na wengine ni kama kunguni tu.

hio yote kisa Ukraine inailamba makalio NATO&USA
 
Ina depend uko wapi mkuu, na je ni kwa kila kichwa au hata uchukue zaidi inabaki hiyo hiyo.
Hiyo ni ndogo kwakweli, £350, hana job, umhudumie, ashinde ndani awashe heaters, ale, aende chooni, aangalie TV. Na usiku akukabe! Not worth it, labda uwapokee watano, na kila kichwa ulipwe!

Wahuni hao UK wamelegeza masharti kwani?? Juzi kati walikuwa bado wamewakazia masharti ya visa!
 
Hiyo ni ndogo kwakweli, £350, hana job, umhudumie, ashinde ndani awashe heaters, ale, aende chooni, aangalie TV. Na usiku akukabe! Not worth it, labda uwapokee watano, na kila kichwa ulipwe!

Wahuni hao UK wamelegeza masharti kwani?? Juzi kati walikuwa bado wamewakazia masharti ya visa!
Kwakweli labda wameamua kuruhusu wapate nguvu kazi ya shambani maana niliona wenye mashamba wanalalamika wafanyakazi wa mashamba adimu
 
Back
Top Bottom