Uingereza: Serikali kuwalipa watakaowapa makazi wananchi wa Ukraine

Paundi 350 (sawa na 1,053,000 Tsh) ni pesa ndogo sana
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Hawa kukula
 
Hapo Kuna majasusi Kama wote , in short ulaya magharibi ijiandae kuja kuwa na wimbi la magaidi watajua hawajui [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hapo Kuna majasusi Kama wote , in short ulaya magharibi ijiandae kuja kuwa na wimbi la magaidi watajua hawajui [emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah,na wadada wa ki "slavs" walivyowazuri watatumika Kama honey traps kwa watu wa UK...
 
hivi kule Afghanistan,Syria,Iraq,na Nchi zingine za k'islam hua wanaua mbuzi jamani ?

mimi hii inanifanya niiombee RUSSIA ipige Ukrain mpaka ibaki vumbi tu maana kumbe inaonekana duniani kuna watu wenye thamani na wengine ni kama kunguni tu.

hio yote kisa Ukraine inailamba makalio NATO&USA
 
Ina depend uko wapi mkuu, na je ni kwa kila kichwa au hata uchukue zaidi inabaki hiyo hiyo.
Hiyo ni ndogo kwakweli, £350, hana job, umhudumie, ashinde ndani awashe heaters, ale, aende chooni, aangalie TV. Na usiku akukabe! Not worth it, labda uwapokee watano, na kila kichwa ulipwe!

Wahuni hao UK wamelegeza masharti kwani?? Juzi kati walikuwa bado wamewakazia masharti ya visa!
 
Kwakweli labda wameamua kuruhusu wapate nguvu kazi ya shambani maana niliona wenye mashamba wanalalamika wafanyakazi wa mashamba adimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…