Uingereza: Walioambukizwa VVU kimakosa kulipwa fidia ya Tsh. Milioni 281

Uingereza: Walioambukizwa VVU kimakosa kulipwa fidia ya Tsh. Milioni 281

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Serikali ya Uingereza imetangaza kuwalipa fidia ya Tsh. 281,800,046 watu zaidi ya 4000 walioambukizwa Virusi Vya UKIMWI kwa uzembe wakati wakiongezewa Damu.

Watu hao waliambukizwa VVU na Homa ya Ini kupitia bidhaa chafu za Damu zilizoingizwa kutoka Marekani ambapo takriban watu 2,400 wanadaiwa kupoteza maisha kutokana na athari hizo.

Malipo yatafanywa mwishoni mwa Oktoba na yatawahusu waathirika kutoka wanaoishi Scotland, Wales na Ireland Kaskazini.

========================

The government has agreed to offer £100,000 in compensation to victims of the infected blood scandal.

It comes after decades of campaigning and government denial of responsibility.

The announcement has had a mixed reception, because while survivors will now get long-overdue help and recognition, many others have already died and, apart from spouses, relatives of the dead won't yet qualify for compensation.

The scandal has been labelled the worst treatment disaster in NHS history.

Patients were infected with HIV and hepatitis C through contaminated blood products imported from America. It's thought around 2,400 people died as a result.

The government intends to make payments to those who have been infected and bereaved partners in England by the end of October. The same payments will be made in Scotland, Wales and Northern Ireland.

The announcement follows an interim report by Sir Brian Langstaff, chairman of the ongoing infected blood inquiry which is expected to conclude in 2023.
 
Wamarekani walioingiza mzigo mchafu wamechukuliwa hatua gani
 
Hatari sana hapa duniani,wamewaambukiza washikaji ili waishi kwa matumaini
 Z
 
marekani marekani marekani mwanangu nakuita mara tatu, au ni bahati mbaya? mmmh hizo damu huwa zinahakikiwa mara ngapi? na zilipofika nchi husika hakukuwa na haja ya uhakiki? any way tutapgwa sankisheni
 
Back
Top Bottom