Uingereza: Watu 36 wakamatwa kwa kuwashambulia polisi katika maandamano

Uingereza: Watu 36 wakamatwa kwa kuwashambulia polisi katika maandamano

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Jumla ya watu 36 wamaekamatwa wakati wa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa Polisi uliofanyika na kusababisha kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd.

Waandamanaji hao wamekamatwa kwa kufanya fujo, uharibifu na kuwashambulia polisi.

Taarifa iliyotolewa hivi karibuni imesema kuwa Polisi 35 wamejeruhiwa na waandamanaji huku wawili kati yao wakiwa katika hali ambayo ilihitaji msaada mkubwa wa hospitali.

Waziri Mkuu wa nchi hiyo, alisema waandamani walianza kufanya fujo badala ya kuandamana kwa amani.

===

London’s Metropolitan Police arrested 36 people during the protests in the capital yesterday. Offenses included violent disorder, criminal damage and assaulting police.

A statement released by the police force said despite largely peaceful demonstration “a number remained in the area around Whitehall and behaved anti-socially before coming violent towards officers.”

Police managed to disperse the final protestors at 2:00 a.m. local time on Monday. Officers used “a variety of tactics including containment to tackle several violent and antisocial groups.”

The statement also made reference to 35 police officers having suffered injuries, two of which required hospitalization.

“The violent criminality we saw is disgraceful and will have been very frightening for others. It will never be acceptable to attack police officers, damage property and leave others in fear of their safety, " Metropolitan Police Commissioner Cressida Dick said.

She added that “those attending mass gatherings risk exposing themselves and others to this deadly virus and I would ask them to find other ways to express their anger and frustration.”

CNN
 
Back
Top Bottom