GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,013
Mtaamua kusuka au kunyoa, Tuvunje muungano auHuo mkopo rejesho litalipwa na zanzibar, Tanganyika au Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaamua kusuka au kunyoa, Tuvunje muungano auHuo mkopo rejesho litalipwa na zanzibar, Tanganyika au Tanzania?
Tatizo la Mikataba ya Mwarabu ni ya kiujanjanja, Mikataba ya ahadi ni ya kizamani sana,weka Mzigo ubaoni tujuwe tunachukua au hatuchukuwi! Siyo unakuja na ahadi zako tu sijui tutafanya hivi,Mara tutafanya vile huku miaka inakatika bila bila!!Kwa kuwa wamepewa na wazungu kelele hamna Ila angekuwa mwarabu mngeongea kila Aina ya upuuzi
AaahaaaaaaKwa kuwa wamepewa na wazungu kelele hamna Ila angekuwa mwarabu mngeongea kila Aina ya upuuzi
Tuna uwezo wa kulipa zaidi ya hizo kuhusu kutuoa sijui simemi mengi maana father wangu ametoka ukoPesa za karafuu hazitoshi hata kununua IST mbovu zitawezaje kulipa mabilioni hapo tutafanya kuwalipia tu nyie ni kama tumewaoa Tu na hamna shukran tumewaoa tunawalisha tumewapa umeme bure ardhi yetu huku Tz bure tumewahonga lakini bado mnapiga kelele kila siku
Kwaiyo muungano uvunjike au [emoji23][emoji23]Pesa za karafuu hazitoshi hata kununua IST mbovu zitawezaje kulipa mabilioni hapo tutafanya kuwalipia tu nyie ni kama tumewaoa Tu na hamna shukran tumewaoa tunawalisha tumewapa umeme bure ardhi yetu huku Tz bure tumewahonga lakini bado mnapiga kelele kila siku
Hata Leo asubuh hatutaki mwanamke mwenye mdomo na Shobo za kikuda(Zanzibar) muumgano uvunjike au tuubadilishe jina tuuite msaada wa watu wa Tanganyika Kwa Wazanzibar Sisi tunawasaidia tu muungano gani kila kitu mnategemea kwetu na bado mna mdomo mrefuKwaiyo muungano uvunjike au [emoji23][emoji23]
Ukweli ni kwamba hizo trillion 1 watalipa watanganyika. Halafu kiwanja cha trillion 1 Pemba cha nini!?Wadanganyika mnaitwa huku 🤪🤪
---
Serikali ya Zanzibar na Uingereza zimesaini makubaliano ya mkopo wa bei nafuu wa Euro 400 milioni sawa na Sh1.04 trilioni kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Pemba na zaidi ya kilometa 103 Unguja na Pemba.
Fedha hizo ambazo ni mkopo nafuu kutoka Uingereza, unapitia benki za Deutsche na Citibank kiasi ambacho kinatajwa kuwa kikubwa kuwahi kupokewa kwa Serikali hiyo tangu Mapinduzi.
Hafla ya kutia saini hiyo imefanyika leo Juni 20, 2023 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Zanzibar kati ya Balozi wa Uingereza nchini Tanzania David Concar na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Akizungumza baada ya kushuhudia utiaji wa saini hiyo, Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amesema ni tukio kubwa la kihistoria kwa Zanzibar kugharamia miundombinu muhimu ya kimkakati kwa kiasi kikubwa cha fedha za namna hiyo.
“Hii itanufaisha uchumi wetu watu kutoka maeneo mbalimbali watakuja na kukuza utalii wetu,” amesema
Waziri wa Fedha na Mipango Dk Saada Mkuya amesema kwa mara ya kwanza Zanzibar kupata kiasi hicho kikubwa cha fedha za mkopo kwa mkupuo.
“Hii ni historia tunakwenda kuifungua Zanzibar katika miundombinu ya kuchumi kwa kujenga barabara za hapa Unguja na Uwanja wa ndege wa Pemba ambao utakuwa wa kimataifa,” alisema Dk Saada.
Naye Waziri wa Ujenzi, Mawasilianio na Uchukuzi, Dk Khalid Salum alisema safari hiyo imeanza muda mrefu tangu awamu zilizotangulia na mawaziri tofauti wa Awamu ya Nane hivyo kufikia hatua hiyo ni jambo la kupongeza.
“Zaidi ya kilomita 800 zinakwenda kujengwa hapa Unguja na Pemba hii haijawahi kutokea mara nyingi zinajengwa barabara zenye urefu wa kilometa 200, lakini mara hii tunajenga kilometa hizo tena kwa wakati mmoja,” alisema Dk Khalid.
Naye Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar alisema katika utekeleji wa mradi huo utafungua fursa za kiuchumi na kijamii kwa taifa na wananchi wa Zanzibar.
Alisema Serikali ya Uingereza itaendelea kushirikiana na Serikali za Tanzania na Zanzibar kuendelea kuitekeleza miradi mingine mikubwa ya kimkakati.
Chanzo: Mwananchi
Ww unataka Leo wakati sis wanzanzibari tulitaka zamani Sana na mkaanza kutubembeleza wenyewe ila kuvunja muungano sio rahisi tumshachanganya Hadi damu ujue[emoji850]Hata Leo asubuh hatutaki mwanamke mwenye mdomo na Shobo za kikuda(Zanzibar) muumgano uvunjike au tuubadilishe jina tuuite msaada wa watu wa Tanganyika Kwa Wazanzibar Sisi tunawasaidia tu muungano gani kila kitu mnategemea kwetu na bado mna mdomo mrefu
Kwa hiyo wewe unatakaje? Kataa kulipa basi kwani umelazimishwa?Ukweli ni kwamba hizo trillion 1 watalipa watanganyika. Halafu kiwanja cha trillion 1 Pemba cha nini!?
Utakataaje wakati mzigo huo unawekwa kwenye tozo mbalimbali, jenga hoja manake naona hutaki kutumia hoja.Kwa hiyo wewe unatakaje? Kataa kulipa basi kwani umelazimishwa?
Ukweli ni kwamba hizo trillion 1 watalipa watanganyika. Halafu kiwanja cha trillion 1 Pemba cha nini!?
Mkopo ni suala la muungano. Guarantee ni nani km sio Tanganyika? Dah!Wadanganyika mnaitwa huku [emoji2957][emoji2957]
---
Serikali ya Zanzibar na Uingereza zimesaini makubaliano ya mkopo wa bei nafuu wa Euro 400 milioni sawa na Sh1.04 trilioni kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Pemba na zaidi ya kilometa 103 Unguja na Pemba.
Fedha hizo ambazo ni mkopo nafuu kutoka Uingereza, unapitia benki za Deutsche na Citibank kiasi ambacho kinatajwa kuwa kikubwa kuwahi kupokewa kwa Serikali hiyo tangu Mapinduzi.
Hafla ya kutia saini hiyo imefanyika leo Juni 20, 2023 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Zanzibar kati ya Balozi wa Uingereza nchini Tanzania David Concar na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Akizungumza baada ya kushuhudia utiaji wa saini hiyo, Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amesema ni tukio kubwa la kihistoria kwa Zanzibar kugharamia miundombinu muhimu ya kimkakati kwa kiasi kikubwa cha fedha za namna hiyo.
“Hii itanufaisha uchumi wetu watu kutoka maeneo mbalimbali watakuja na kukuza utalii wetu,” amesema
Waziri wa Fedha na Mipango Dk Saada Mkuya amesema kwa mara ya kwanza Zanzibar kupata kiasi hicho kikubwa cha fedha za mkopo kwa mkupuo.
“Hii ni historia tunakwenda kuifungua Zanzibar katika miundombinu ya kuchumi kwa kujenga barabara za hapa Unguja na Uwanja wa ndege wa Pemba ambao utakuwa wa kimataifa,” alisema Dk Saada.
Naye Waziri wa Ujenzi, Mawasilianio na Uchukuzi, Dk Khalid Salum alisema safari hiyo imeanza muda mrefu tangu awamu zilizotangulia na mawaziri tofauti wa Awamu ya Nane hivyo kufikia hatua hiyo ni jambo la kupongeza.
“Zaidi ya kilomita 800 zinakwenda kujengwa hapa Unguja na Pemba hii haijawahi kutokea mara nyingi zinajengwa barabara zenye urefu wa kilometa 200, lakini mara hii tunajenga kilometa hizo tena kwa wakati mmoja,” alisema Dk Khalid.
Naye Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar alisema katika utekeleji wa mradi huo utafungua fursa za kiuchumi na kijamii kwa taifa na wananchi wa Zanzibar.
Alisema Serikali ya Uingereza itaendelea kushirikiana na Serikali za Tanzania na Zanzibar kuendelea kuitekeleza miradi mingine mikubwa ya kimkakati.
Chanzo: Mwananchi
Halafu uwe mnyenyekevuChakupewa hakishibishi na ukipewa lazima ukumbushwe [emoji445][emoji445]